Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
What wrong with you shunie wewe sio 'ujue'
Mfyuuuuuuuu
Mfyuuuuuuuu
Amina mama mchuchuKazi njema ubarikiWe
![]()
![]()
![]()
Hebu weka picha ulowekaga chitchat na cie tuoneBasi mimi niko tofauti na vibe10 vingine
Hebu weka picha ulowekaga chitchat na cie tuone
Mkuuok hiyo hapo![]()
Mkuu
Ni wewe ?Naaam
Ni wewe ?
Ok ngoja ujue ajeNdo mimi
SawaOk ngoja ujue aje
We ndio wa kwanza usiyenipenda na siku ya kuachana na anko wako utafunga na kigodoro
Si huyo mume mwenzio anajifanya eti ananipenda akwendeee me sio mama wa fursa silei ben 10 mwenyewe nataka kulelewa hapa
Ankoooooo.....sio kigodoro tu, nitaenda msikitini na kutumia sipika za masijid kutoa tangazo la na nitaenda serikali ya mtaa na kushusha bendera nusu mlingoti halafu naenda kwenye geti la pale ikulu nakojoa
Halafu narudi kambini hapa mizinga kunywa bia za bei chee , nitakukaribisha maana sipendi kabisa umuache anko wangu.
Nitakosa Cha kuongea jamani, usifanye hivyo
Sikusaidiii chochote
Ananiita mama mkubwaHivi ni mwanenu na bro?
Ankoooooo
Ha haa acha kunichoraSawa demi
Unasalimiwa sana na sio utan
Sasa anko mbona hujanipa taarifa kama utapitaNimepita ule mtaa, nitakuletea salamu zako. Sikujua kama yule dada anajua kuandika bhana, hongera kwa kumpeleka twisheni.