Makapuku Forum

Makapuku Forum

...lol! Kuna ABJ tena, yule shortie uliyembadili jina ukamuita MC sababu ya changamoto yake ya ufupi imekuwaje tena?

MC = Mini cooper vile vigari vizuri vidogo vyenye changamoto ya umbo navyovipendaga sana
Hahahahaha huyo alikuwa wako na ulimpindua binamu wako ...kwanza wewe nshakusoma unanionea gere kuwa na mcute ABJ
 
..ha hahahhaa, atakuwa yule uliyempa namba yako ya whatsapp, anakutafuta! Hivi hata ulimkumbuka kumtizama vizuri maana zile bia zilikuwa za moto utasema zimetengenezwa Dodoma
Wewe lakini ndo ulimtajia nilivokwenda nje kujistrisha na yyle ...alafu alivo mbaya naona whatsap kaweka picha yako sijui ananikomoaa ?
 
Wewe lakini ndo ulimtajia nilivokwenda nje kujistrisha na yyle ...alafu alivo mbaya naona whatsap kaweka picha yako sijui ananikomoaa ?

...hiyo picha aliyoweka alinifotoa wakati umemgombeza , ni mbinu yake ya kuomba msamaha, akijua akiniweka kwenye whatsapp basi utamuhurumia, kwanza alianza kutafuta picha ya dada yako nikamnyima nikamwambia picha ya mama yangu asiihusishe, akiniomba ya Shunie nimpe?
 
Anko unamtafuta maneno shunie na sitokutetea
 
..aunt yangu tunaiva sana yaani hana noma na mimi kabisa. Wikend nikija mjini nitapita kwake ninywe juice (naamini keshasahau kuwa alisema nisiende kwake, sipati juice wala maji)
Yaan maji ata ya kandoro hawezi kukupa ...kazi nahisi uliyopewa kwenye mikakati yenu ni kumvuruga vuruga [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sio SHEDEDE WIZZY BABY tena

Saivi mimi ni shadrack let say shedede ilikuwa adoless seoson saivi mi mkubwa bhana kiumbo na kifikra

Still bado nampenda 'ujue'
Ebu weka ile pic yako kwanza uliyoipost ile siku chit chat mana sakayo aliisifia sijui aliangalia vibayw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mu worry out siwezi toa uzi 'ujue'
 
Back
Top Bottom