Makapuku Forum

Makapuku Forum

*[emoji524]Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaikeFCC; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.*
*Yoshua 1:9*
Jumapili ya leo iwe maalum kwako kupitia neno hili[emoji116]
[emoji117]Uwe hodari
[emoji117]Na moyo wa ushujaa
[emoji117] Usiogope
[emoji117]Usifadhaike
Kwa kuwa kila uendako Bwana Mungu yu upande wako..
Nimejisikia vyema asubuhi ya leo tukumbushane Neno hili
Barikiwa sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom