Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Nani huyo jamanAu hapiti siku hzi?
Nani huyo jamanAu hapiti siku hzi?
Umeniacha himo ujueHaha
Ndioo
McuteNani huyo jaman
Mi mzima hofu kwako tuAnha sawa
Umzima lakini?
Aarrggghhh uhandishi huu siupendi aisee naona utoto tu mtu akiandika hivi jamanPouwa..
Xa kujificha
Tatizo unao wengi ujueMcute
Twende ArushaUmeniacha himo ujue
Alikosea bhana, we huoni kwenye keyboard Z na x zakaribiana!!!Aarrggghhh uhandishi huu siupendi aisee naona utoto tu mtu akiandika hivi jaman
Mmh kweli mapenzi yana nguvuAlikosea bhana, we huoni kwenye keyboard Z na x zakaribiana!!!
Aarrggghhh uhandishi huu siupendi aisee naona utoto tu mtu akiandika hivi jaman

Kuliko breakdowmMmh kweli mapenzi yana nguvu
Taja jina ajue unampenda ndio nyie unampenda mtu unakufa na tai shingoni mwenzio anazama pm huko anaimbisha anajilia mautamu au we domo zegeHumu kuna mtu nampenda anapenda kuandika post anaishia na 'ujue'
AhahahaKuliko breakdowm
Kama nakuona
Taja jina ajue unampenda ndio nyie unampenda mtu unakufa na tai shingoni mwenzio anazama pm huko anaimbisha anajilia mautamu au we domo zege




mi sio domo zege bhana