Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ndo ubunifu wangu huoMajina sasa hahahahahaha ni shiiiida
...................
Ndo ubunifu wangu huoMajina sasa hahahahahaha ni shiiiida
Hivi wale ambao wamefanya abortion pia ni mama!!Mama ni mwanamke yyte mwenye mtoto. Pia huyo mtoto anaweza kuwa wa kwake kabisa au wa kuasili. Sijui nimepatia.
Poa poa, mi huwa najitahidi niende asubuhi kabisa ... Ikinipita ibada ya asubuhi nakuaga mzito kwendaMambo yalinibana sana kuanzia jana jioni.
Ila hakuna shida next week kama kawaida.
Mama wa watoto waliokufaHivi wale ambao wamefanya abortion pia ni mama!!
Brother naona anataka kukuzeesha.Th Name hataki mchezo kabisa
KipajiNdo ubunifu wangu huo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...................
Hahaa tunazaa kwa manufaa yetu wenyeweBrother naona anataka kukuzeesha.
Au kuna sehemu mmepata soko la watoto.!
Na bange au
Kafanana na FaizerFix(ngariba WA Jf)
Eti ananiambaia hana picha ya familia.Wasiwasi wa nini?
HahaaaaaHivi wale ambao wamefanya abortion pia ni mama!!
Ijazeni dunia tu maana hakuna namna sasaHahaa tunazaa kwa manufaa yetu wenyewe
Hapana lizie, kuna wanawake wanaqualify kuzaa lakini haiwafanyi kua mama, wapo wanawake ambao hawataki kuzaa kabisa na wapo ambao wakizaa huwapeleka watoto wakapate malezi kwa 3rd parties. Je jao wanastahili pia hii tunuku ya mamaSisi wote ni wamama
Nahisi ni mdogo wakeKafanana na FaizerFix(ngariba WA Jf)
![]()
![]()
![]()
![]()
...............