EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hahahaaa... kawaida sana, Makapuku ni kawaida yetu kutaniana.Nimejoke tu
................

Hahahaaa... kawaida sana, Makapuku ni kawaida yetu kutaniana.Nimejoke tu
................

Mi huo wimbo hata siujui na ndio kwanza nimeuona hapaHapa nasikiliza cjamoker ft wakazi p the mc one the incredible-cjamoker![]()
![]()
Ndo hivyo mkuu mwanamke yeyote mwisho wa siku ni mama, hata asipozaa atalea![]()
haya bhana
Chura wa Snura.Chura wa nn babe?
Salama niajezAje aje wakuu, mmeshindaje?
Hayo ni mahaba niteketezeMahaba niue!
Fresh tu jamaa, uko poa?Habari za jumapili makamanda.
Thank you brizLinamo, amaizing, lizziebettie, Jimena, Patience123, aggyjay na KE wengine wote humu... Happy MOTHER'S day
Majina sasa hahahahahaha ni shiiiida![]()
LeicesterEPL winners
RiverfoolEuropa league ?
Mansheeder UtdFA Cup ?
ArsayNONdoo ya chooni?
ChelsickJamvi la wageni
Man Villagehollah
Msimu ndo unaisha huo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
............................
Niko vizuri brother.Fresh tu jamaa, uko poa?
Pamoja sana kaka.Nimewamis sana wakuu.
Nitarudi badae kidogo.
![]()
Cdhani sana, ndo mana ikaja specifically as mamas day, na ile nyingine ya wote ipo piaNdo hivyo mkuu mwanamke yeyote mwisho wa siku ni mama, hata asipozaa atalea
Salama, habari yako?Habari za jumapili makamanda.
Poaz mpendwa, za wewe?Salama niajez
Wamama watarajiwaMkuu hawa watu ni wa mama wote![]()
![]()
![]()
sio kwamba ingekua wanawaje day ndo ingekua convenience
Hiyo ndio hali halisiTeh.. hata kama si wamama kwa sasa, najua watakua hivyo soon or later!
Kuna tofauti kati ya mama na mlezi.Ndo hivyo mkuu mwanamke yeyote mwisho wa siku ni mama, hata asipozaa atalea
Weekend yangu inaenda poa kabisaNiko vizuri brother.
Weekend vipi?
Poa sana..... Jumapili tulivu na murua kabisaPoaz mpendwa, za wewe?