lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Sasa unataka na ww upate ndio utoe msaada?Tena usikaribie kabisa,yani raha mpate wenyewe alafu uje kunisumbua mimi.
Sasa unataka na ww upate ndio utoe msaada?Tena usikaribie kabisa,yani raha mpate wenyewe alafu uje kunisumbua mimi.
Ni mama piaHapana lizie, kuna wanawake wanaqualify kuzaa lakini haiwafanyi kua mama, wapo wanawake ambao hawataki kuzaa kabisa na wapo ambao wakizaa huwapeleka watoto wakapate malezi kwa 3rd parties. Je jao wanastahili pia hii tunuku ya mama
Yes ila moja tu ndo sijalijua hapo yaliyobaki nawaelewa, polifix nimeanza na kuitumia piaOna mengine :
Ngedere Ungabu
FaizerFix
The Blauz(The Blues)
The Mandaz(The gunners)
Prof Wengewenge(Wenger)
Joto City(DSM)
Kapuku
Domourinho
Lisa Van Girl
POLIFIX(siasa) n.k
Nimeyabuni mimi humu Jf
.............
Na thread yangu (Maajabu ya khanga)Uko vizur mkuu, kumbe kuna kaz ngeweza kukupa ilikua inahitaka ubunifu flani ka huo
Mi niko poa kabisa, za wikiend?Me nilikumis moreeee
Mzima wewe???
Good newz ever hapa KFNa thread yangu (Maajabu ya khanga) kuna mtu nimemuuzia ataitumia kwenye blog take
Makapuku oyeeee
...................
Asante sanaaaaaaaaa**Natangaza kiama.**
Kama unabania kugonga like,utasubiri sana nikukandanize like zangu,tena ukizingua zaidi hata reply hupati.
Ubaya ubaya tu.
Ndiyo mpunguze speed.Sasa unataka na ww upate ndio utoe msaada?
Briz bado unasalimia tu???Mi niko poa kabisa, za wikiend?
Oyeee!Na thread yangu (Maajabu ya khanga) kuna mtu nimemuuzia ataitumia kwenye blog take
Makapuku oyeeee
...................
Habari nzuri sana.Na thread yangu (Maajabu ya khanga)
...........................
Maajabu ya khanga!
.............................
kuna mtu nimemuuzia ataitumia kwenye blog take
Makapuku oyeeee
...................
Ikiwa hewani tustuane ili tutupie macho huko kunako blogNa thread yangu (Maajabu ya khanga)
...........................
Maajabu ya khanga!
.............................
kuna mtu nimemuuzia ataitumia kwenye blog take
Makapuku oyeeee
...................
Lipi ?Yes ila moja tu ndo sijalijua hapo yaliyobaki nawaelewa, polifix nimeanza na kuitumia pia
Lisa van girl
Inakera sana.Asante sanaaaaaaaaa
Hii ni safi sanaaa
Sio wanapokea tu wakati wao hawatoi
Mwenzio napenda alivyo na speed. Labda umwambie mwenyewe.Ndiyo mpunguze speed.
Mwambie brother afunge speed governor.
Kumbe unapenda mwenyewe,basi vumilia tu.Mwenzio napenda alivyo na speed. Labda umwambie mwenyewe.
Nishaweka link rudi tenaOyeee!
Umeipost wap hyo maajabu ya khanga?