Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Poa kaka hamna noma.Weekend yangu inaenda poa kabisa
Poa kaka hamna noma.Weekend yangu inaenda poa kabisa
Basi poa.Kabisa kabisa
Ni kweli lakin kuna wengine wanaowaita walezi wao mama baada ya mama zao kufariki au kutowalea kwa namna yeyote ileKuna tofauti kati ya mama na mlezi.
Karibu tenaBasi poa.
Nilikuwa busy kidogo but now nimerudi rasmi.
Kwa mantiki hiyo ni sawa kabisa lakini mkuu nakuhakikishia mama atabaki kuwa aliyekuzaa pekee,hawa mama wengine kama mama wa kambo asilimia kubwa ni majanga tu.Ni kweli lakin kuna wengine wanaowaita walezi wao mama baada ya mama zao kufariki au kutowalea kwa namna yeyote ile
Karibu jamaa, uko poa?Hellow....
Poa.Karibu tena
Mambo vipi brother.Hellow....
Asante mkuu mambo yanasemaje mkuuKaribu jamaa, uko poa?
Pouwa mkuuMambo vipi brother.
True.. mama wa kambo hawez toa upendo sawa na mama aliyekuzaa, sasa sijui na hii sikukuu inawalenga mama gani?Kwa mantiki hiyo ni sawa kabisa lakini mkuu nakuhakikishia mama atabaki kuwa aliyekuzaa pekee,hawa mama wengine kama mama wa kambo asilimia kubwa ni majanga tu.
Hahaha ole wakeChura wa Snura.
Asante brizLinamo, amaizing, lizziebettie, Jimena, Patience123, aggyjay na KE wengine wote humu... Happy MOTHER'S day
Fresh kabisa, za jumapili?Asante mkuu mambo yanasemaje mkuu
Sisi wote ni wamamaMkuu hawa watu ni wa mama wote![]()
![]()
![]()
sio kwamba ingekua wanawaje day ndo ingekua convenience