sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Tupia basi hata kapicha ka familia tuone.Asante shem
Th Name hataki mchezo kabisa
Hongera kaka kwa kuwezeshaWa tano yupo njiani hapa anakuja.
Hatupigagi pichaTupia basi hata kapicha ka familia tuone.
Yaani daah Jamaa yupo gud saanaTh Name hataki mchezo kabisa
Kaka yako anataka tutengeze timuHongera kaka kwa kuwezesha
Hapana mkuu.Yes...maombezi yamefanyika kwa wote....
Mkuu hebu tuma Sadaka mpesa niiwasilishe kwa pasta
Anajiweza sanaYaani daah Jamaa yupo gud saana
Ha haah
Uko sahihi mkuu... am sure youngblood atakua amejifunza kitu hapaMama ni mwanamke yyte mwenye mtoto. Pia huyo mtoto anaweza kuwa wa kwake kabisa au wa kuasili. Sijui nimepatia.
ExactlyHahaha.
Hawa watasubiri labda mpaka yesu arudi.
![]()
Acha myajenge tuKaka yako anataka tutengeze timu
Hapa naanza kupata wasiwasi.Hatupigagi picha
Mkuu unaakili sana.Shem em nisaidie definition nzuri ya mama
YeahUko sahihi mkuu... am sure youngblood atakua amejifunza kitu hapa
Wasiwasi wa nini?Hapa naanza kupata wasiwasi.
Wasi wasi wa nn sasa ?Hapa naanza kupata wasiwasi.