Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sasa itabidi umpe camera ili awe anapiga pichaEti ananiambaia hana picha ya familia.
Sasa itabidi umpe camera ili awe anapiga pichaEti ananiambaia hana picha ya familia.
Hapo sasa mtihaniHapana lizie, kuna wanawake wanaqualify kuzaa lakini haiwafanyi kua mama, wapo wanawake ambao hawataki kuzaa kabisa na wapo ambao wakizaa huwapeleka watoto wakapate malezi kwa 3rd parties. Je jao wanastahili pia hii tunuku ya mama
HahahahaaaIjazeni dunia tu maana hakuna namna sasa
Mama wa watoto waliokufa
kama ndiyo hivyo basi asilimia kubwa ya wasichana inabidi tuwaite wamama*Ona mengine :Kipaji
My wii vipi tenaaa ????
Mpaka uwe na ushahidi sasa![]()
![]()
![]()
kama ndiyo hivyo basi asilimia kubwa ya wasichana inabidi tuwaite wamama*
Sawa kila la kheri ila sitaki kuobwa mchango wa pesa ya ada.Hahaa tunazaa kwa manufaa yetu wenyewe
Panapo bidi lazima utoe uncleSawa kila la kheri ila sitaki kuobwa mchango wa pesa ya ada.
I miss you amaizing!My wii vipi tenaaa ????
Mimi nawajua wengi tu.Mpaka uwe na ushahidi sasa
Me nilikumis moreeeeI miss you amaizing!
Uanze kuwaita mama!wakuchambeeeMimi nawajua wengi tu.
Tena usikaribie kabisa,yani raha mpate wenyewe alafu uje kunisumbua mimi.Panapo bidi lazima utoe uncle
Uko vizur mkuu, kumbe kuna kaz ngeweza kukupa ilikua inahitaka ubunifu flani ka huoOna mengine :
Ngedere Ungabu
FaizerFix
The Blauz(The Blues)
The Mandaz(The gunners)
Prof Wengewenge(Wenger)
Joto City(DSM)
Kapuku
POLIFIX(siasa) n.k
Nimeyabuni mimi humu Jf
.............
Pole ya nini?Pole sana.