[emoji23] [emoji23] [emoji23]...asante umeshusa presha yangu, si unajua nina moyo ambao nimeupa kazi nyingine kabisa tofauti na kusukuma damu, kazi ya kukupenda wewe.
Ungependa jioni nikuletee chipsi zenye mayonnaise au mix tape ya Juma Baro
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpendwa,kwasababu nakupenda basi chochote utachokileta nitakifurahia tu
Ila usikitaje maana nataka muda ule ule ndio nijue kuwa nimeletewa nn
Hapo VP?!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] hata tukionana jioni haitodhurushululu asante sana kwa magazeti, asante mpenzi wangu husna muba kwa Historia, asante anko Lyon Lee kwa UF na asante BH BlessedHope kwa sala ya asubuhi. Zaidi asante wewe Kapuku kwa kuwa hapa.
Jumatano Njema and let us have a great rest of the day, ninafurahi kuwa hapa kwa sababu najua kuna watu wema humu, wenye ufahamu na maarifa wanayopenda na kufurahia kushare na zaidi, ujue nini, wanafurahia kutabasamu.
Tutaonana baadaye kidogo, itapendeza zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]...siwezi kukitaja maana anko anaweza akaja akakifotoa picha akamtumia aunt Shunie akaja kuturingishia
Ubarikiwe Obe asanteshululu asante sana kwa magazeti, asante mpenzi wangu husna muba kwa Historia, asante anko Lyon Lee kwa UF na asante BH BlessedHope kwa sala ya asubuhi. Zaidi asante wewe Kapuku kwa kuwa hapa.
Jumatano Njema and let us have a great rest of the day, ninafurahi kuwa hapa kwa sababu najua kuna watu wema humu, wenye ufahamu na maarifa wanayopenda na kufurahia kushare na zaidi, ujue nini, wanafurahia kutabasamu.
Tutaonana baadaye kidogo, itapendeza zaidi.
Dada husna...[emoji350] [emoji350] [emoji350] naomba uje mdogo wangu ustaajabu.Nakusubiri tule[emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] .. hukufika bwawa la boko!?...yeah napiga sana tungi, yaani kuna siku nimeenda kupiga mishe pale Tungi (kama unaishi kigamboni utakuwa unapajua) nikamaliza nikaingia ndani kidogo Maziwa ndo nikaenda zangu Kishiwani. Tungi si mtaa mzuri kabisa
Etiii[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]HV yule tukunyema wako Wa juzi niliewapita pale kisuma na ulivyokuwa unalalama kuwa anapiga tarumbeta
Hv mliishiaje?![emoji4]
Mungu aliumba Adam na hawa,Dada husna...[emoji350] [emoji350] [emoji350] naomba uje mdogo wangu ustaajabu.
Sawa dadake[emoji134] [emoji134] [emoji134] nisamehe basi kaka ake
Subiri part 2Etiii[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]
Vuta ndo uzungumze*MADEMU WEMBAMBA NDO WANAOMALIZA CHUPI ZA WATOTO MADUKANI*[emoji41]
Cjavuta bado
Duhh[emoji134] [emoji18] [emoji18]Subiri part 2
Chief mweeehDada husna...[emoji350] [emoji350] [emoji350] naomba uje mdogo wangu ustaajabu.
Swty [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji16][emoji16][emoji16]kibwengo
Baby achana naeEtiii[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]