Kwa taarifa yako ni wa anko aliniomba nimuwakilishe ili usimnunie uskuHV yule tukunyema wako Wa juzi niliewapita pale kisuma na ulivyokuwa unalalama kuwa anapiga tarumbeta
Hv mliishiaje?!![]()
LEO KATIKA HISTORIA
Tarehe 15 Novemba ni siku ya 319 ya mwaka (ya 320 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 46.
AsanteNa hapo ndio mwisho Wa kipindi chetu kwa Leo
UJUMBE
anti yangu uwe makini huyo mjomba lee majanga tupu
By husobe
1887 - Marianne Moore, mashairi kutoka Marekani alizaliwa
1931 - Mwai Kibaki, Rais wa tatu wa Kenya alizaliwa
Baada ya sala ...tukayapata magazeti bila kusahau historia na mchepuko wa anko wanguu Obe najua salam mmeamkiwa na familia kabla ya kupata za hapa na mm naamini anko alikufanya ukalala nazo ...ndo huyu anko aliyepewa dili la kuwakagua wanafunz wa kike shulen jiran kama wanamilikki simu au hapana...akanambia what a golden chance.....
Soon UF

Hilo pozi la picha sasa
1933 - Gloria Foster, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani alizaliwa
Waligombana ama nn?!
1968 - Ol' Dirty Bastard, mwanamuziki kutoka Marekani alizaliwa