Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,546
Amina[emoji524]Zaburi 145
20. BWANA huwahifadhi wote wampendao, Na wote wasio haki atawaangamiza.
21. Kinywa changu kitazinena sifa za BWANA; Wote wenye mwili na walihimidi jina lake takatifu milele na milele.