Makapuku Forum

Makapuku Forum

president-george-w-bush-and-kenya-president-mwai-kibaki-smile-to-the-picture-id2565469
Kwa mbaali naona huyu mzee anafanana na "steven wasira"

Au macho yangu tu?
 
Nilimfikisha kwenye ile gest ambayo anko alikwambia usije kanyaga pale kisa alikutishia kuwa unatembea na yule mfanya usafi na mlinzi kumbe ndo janja yake usimfumanie
Good[emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Safi sana mpendwa obe ndio inavyotakiwa hivyo mwanaume uwe unafanya mambo kwa kujistiri

Husobe kapita
 
Hee kwahiyo ndio ukamuwakilisha mpaka room ukazama ukaenda kumuwakilisha kwa bed

Mpenzi wangu, wakati unayaona yote haya wewe ulikuwa wapi, na unafanya nini na nani! Ujue kuna tofauti na kuwa kazini na kuzini.
Umenifanya hata hamu ya kunywa chai ya hudhurungi ikate, andaa ushawishi wa kimwili ili niweze kukuelewa maana hiyo gesti ni ya watu wageni wenyeji
 
Anko salamu zikufikie popote ulipooooo
 
Mpenzi wangu, wakati unayaona yote haya wewe ulikuwa wapi, na unafanya nini na nani! Ujue kuna tofauti na kuwa kazini na kuzini.
Umenifanya hata hamu ya kunywa chai ya hudhurungi ikate, andaa ushawishi wa kimwili ili niweze kukuelewa maana hiyo gesti ni ya watu wageni wenyeji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wala mi sikuwepo hapo ila kuna MTU ndio kaniletea hizo hizo habari
Si unajua tena wabongo walivyo MTU anakunyima hela ila ubuyu hakunyimi[emoji4] [emoji4]
 
...asante umeshusa presha yangu, si unajua nina moyo ambao nimeupa kazi nyingine kabisa tofauti na kusukuma damu, kazi ya kukupenda wewe.
Ungependa jioni nikuletee chipsi zenye mayonnaise au mix tape ya Juma Baro
 
Back
Top Bottom