Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kwema mkuuWakuu habari zenu
Habari yako chief..Chief mweeeh
Mungu aliumba Adam na hawa,
Na wala mungu hakuumba adam na huyu
Na pia ana msongo huyo mukongo wake kamuacha soremba kwahiyo muache ajifariji

Aghh hata cheo cha ujomba hakimfai![]()
![]()
![]()
ndo Obe huyo
Hanie I miss youKwema mkuu
Chief niko salama na jana nimeaga ukaperaaaa ...sema wanonko wakiongozwa na husna kazi ninayoHabari yako chief..
Yaan dear huwa tunajiuliza ni mtoto wa familia yetu kweli au dadake baba alizungukwa na manesAghh hata cheo cha ujomba hakimfai
Nisha fall kwako bebBaby achana nae
naanza kuona mauzauza mapema hii
oooh
Miss you more my QueenHanie I miss you
Kwanza nikupe hongera chief kwa kuuaga ukapela, huzuni ya kuniacha katika jumuia ya mabachelor hasa wewe ukiwa katibu wangu haifikii furaha ya wewe kupata goma..Chief niko salama na jana nimeaga ukaperaaaa ...sema wanonko wakiongozwa na husna kazi ninayo
Hihihihiiii yawezekanaYaan dear huwa tunajiuliza ni mtoto wa familia yetu kweli au dadake baba alizungukwa na manes
Nihakikishe kuwa siyo kweli nnayoyasikiaMiss you more my Queen
Sawa mkuu habari ya ujenzi wa taifaKwema mkuu