Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,277
- 35,630
Eti wii shunie Mjomba obe anapiga tungi ee
...yeah napiga sana tungi, yaani kuna siku nimeenda kupiga mishe pale Tungi (kama unaishi kigamboni utakuwa unapajua) nikamaliza nikaingia ndani kidogo Maziwa ndo nikaenda zangu Kishiwani. Tungi si mtaa mzuri kabisa

