Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Salama kaka akeWakuu habari zenu
Salama kaka akeWakuu habari zenu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aghh hata cheo cha ujomba hakimfai
Ndaga Dada imajoro mpokile umheshaSalama kaka ake
Duuuh[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]love uuu Sahiv sisikii ya walimwengu
Unataka kufukua makaburiNihakikishe kuwa siyo kweli nnayoyasikia
Oya bro vpKwanza nikupe hongera chief kwa kuuaga ukapela, huzuni ya kuniacha katika jumuia ya mabachelor hasa wewe ukiwa katibu wangu haifikii furaha ya wewe kupata goma..
Hao wanoko, wapambe nux achana nao
Na wakuache ulale alijisemea domo platnumz.
Na nimelala kweliiiiKwanza nikupe hongera chief kwa kuuaga ukapela, huzuni ya kuniacha katika jumuia ya mabachelor hasa wewe ukiwa katibu wangu haifikii furaha ya wewe kupata goma..
Hao wanoko, wapambe nux achana nao
Na wakuache ulale alijisemea domo platnumz.
Umeonaa??Hihihihiiii yawezekana
Nataka unitambulishe kwa kibeba roho wako maana umanigongo ni mtihani mgumuYaan dear huwa tunajiuliza ni mtoto wa familia yetu kweli au dadake baba alizungukwa na manes
UnahukumuAghh hata cheo cha ujomba hakimfai
Kukuhakikishia ni kukupendaa kwa moyo wangu wote .Nihakikishe kuwa siyo kweli nnayoyasikia
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] nakupenda[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]love uuu Sahiv sisikii ya walimwengu
Dadake shunie akirudi nishtue[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nini weweDuuuh
Mapenzi mubashara[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] nakupenda
Mi naona makaburi yanaelekea kufukuliwaNini wewe
Ubachelaaa shidaaaMapenzi mubashara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mcute wangu mtamkimbizaaaMi naona makaburi yanaelekea kufukuliwa
Sawa mwambie mndali anamsalimia maana mi nawapenda shemeji zanguBhasi ABJ ndo mbeba roho yangu