Makapuku Forum

Makapuku Forum

d0de2ceb25e04c44a234478beb4f50fc.jpg
Mzee tulia labda bimkubwa kahisi una malaria kakuwekea catalyst kidogo..
 
Zaburi 144

1 Na ahimidiwe BWANA, mwamba wangu, Anifundishaye mikono yangu vita, Vidole vyangu kupigana.

2 Mhisani wangu na boma langu, Ngome yangu na mwokozi wangu, Ngao yangu niliyemkimbilia, Huwatiisha watu wangu chini yangu.

3 Ee BWANA, mtu ni kitu gani hata umjue? Na binadamu hata umwangalie?

4 Binadamu amefanana na ubatili, Siku zake ni kama kivuli kipitacho.
Asante Mtumishi
3d2405f15fcfa9804ec3b21ae2a015c4.jpg
 
Au kisado kinatoshaaa
Hata kama ni kilo ya dona, atupe tu tusonge ugali tujaze tumbo, ye ataenda kujuana na balaa lake mbele kwa mbele huko

We mtoto wa kike gani anadamka lukwili jogoo hajanya, ye hayupo mpaka machweo ndio unaweza kuona vigulu baja vyake, ukiona hvyo kaishatoka kwa shabani madobe wake..
 
Tena tusonge tule bila ata nyanya chungy wala bamia ...kama vibamia atakutana navyo hukoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom