[emoji4] [emoji4]...mmmmh!
Sio kwamba siamini uliyoandika maana najijua navyokuudhi (nitakuja muda si mrefu kwenye muziki tena) , ngoja niongee na BH nijue kama kweli unamaanisha ulichoandika
MorningMorning mpendwa
Muziki: Ulevi wa Salamu
...hivi unajua jumatano huwa imekaa kama jumatatu? well, siulizi swali kwamba ujibu, haya ni maelezo yaliyokaa kiswali yasiyohitaji majibu maana hakuna jibu moja. Kila mmoja wetu humu anatafasiri ya siku yake, kama yuko kwenye siku yake mbaya basi Jumatano itakuwa mbaya, nyeusi na inafanana na giza, na akiwa na siku nzuri basi tabasamu ni pana hadi wakati anaingia kitandani na kupumzika kwa amani.
Ninakusalimia wewe kapuku mheshimika, leo nimechelewa kusoma magazeti na nimeyasoma muda si mrefu hii ni kwa sababu nilihudhuria ndoa ya mkeka ambapo bwana harusi ni baba wa nyumbani na mama ni nesi. Maisha popote, kivyovyote na uzuri wa neti ni mmoja tu, matundu. Neti isipokuwa na matundu hiyo siyo neti tena bali shuka au kitenge. Anko wangu kanipigia simu, ujue napenda kukushirikisha mambo ya anko wangu kwa sababu ni mtu mwema sana na ana mke wake ambaye mimi ni aunt yangu na wanapendana sana na hata zifanyike hila za namna gani hawawezi kuachana. basi anko kalonga sana anavyompenda aunt yangu, nikasikia sauti pembeni kuuliza ni sauti ya nani, anko akasema ni ya Zuwena. nikakata simu maana aunt yangu akijua basi msala unahamia kwangu na sitaki nichukiwe na aunt yangu.
Muziki sasa, ninakupenda sasa wewe kapuku mheshimika, ujue nini shululu , Tumosa , Transcend , Gentries , Nyagei , Shunie , Lyon Lee , makaveli10 , husna muba , Mkushi wa kusi , moneytalk , Tetramelyz , Shadrack K. Lwila , SHIMBA YA BUYENZE , BlessedHope , Werrason , mzeewakungoa , dingimtoto , Mndali ndanyelakakomu , Sweetiepie , eden kimario , na wewe unayenisoma muda huu. Kapuku ni sehemu nzuri kwa kuwa tu wewe uko hapa. tuwe na wwakati mzuri usiku huu
Yaani najua Lee ataituma yote leo..nimeifurahia sanaYaan unapenda kuniudhiiii weeeh halaf mwisho unajifanya unapenda kuniwekea nyimbo ninayoipenda wewe na huyo anko mtajua wenyewe na huyo zuwena pambaneni na hali zenu mama ukuje huku nyimbo yako unayoipenda mambo ya bunoooooooo
Naipenda sana...sikujua BH analipenda hili goma, mbona hajaniambia?!! nakuwa wa mwisho kwenye mambo mengi sana hakyanani
Mbona unajua vyote...sio kukuita tu, ni kukuhitaji pia hapa! Nataka nijue kwanini mimi nakuwa wa mwisho kujua vitu vya msingi
[emoji7] [emoji7][emoji7][emoji7] enjoy momo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wooooooooooozaaaaaa baba na mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha nayo ni aina ya upishi
Bless UUsiku mwema MF wote
[emoji120] [emoji120]![]()
Asante Mtumishi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Naupenda sana huo wimbo,naamini utanitumia son..Bless UNakusalimia sana kapuku uliyeamshwa na uzima kwa siku ya leo na hii salam inaenda sambamba na shukrani za dhati kwa anko wangu Obe usiku wa jana kukulaza na kitu cha fally ipupa akipendacho BlessedHope...ata mama d najua alienjoy japo bahati mbaya baada ya kuweka mziki anko wangu alinyanganywa simu na kibonge wake make kafanya usajili mpya na kujifanya mtu mwema kwake ndo kaamua lain yake wanayomsumbua wengi hasa wale wahamiaji haramu anipe mimi nipambane kwa niaba yake ....huyo ndo anko
Soon kitu UF chawajia
Very very true..ndio maana IMLA AU DICTATION NI NAMNA NZURI YA KUJIFUNZA LUGHA,KUSOMA ,KUANDIKA NA SPELLING PIA..TUWASAIDIE WANAOSOMA WAELEWE HILI LINASAIDIA SANA..MIMI SASA HATA KANISANI HUANDIKA MHUBIRI ANAPOHUBIRI INANISAIDIA SANA PIA..ASANTE LEE