Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .. sie tutakula kwa mchuzi wa chuku chuku.

.....nawaangalia tu anko wangu Lyon Lee mnavyomshambulia mpenzi wangu namba moja, wangu mwenyewe husna muba

Yaani kwa maneno yenu kuwa mtamgawa eti hadi kwa kisado cha mahindi basi mimi ndo midadi inanipanda ya kumpenda yeye
 
Mimi naumwa sana hofu kwako tu nilikuwa nataka hiyo nyimbo iniliwaze tu mwambie binamu asante nimepata ujumbe wake acha nipambane na hali yangu

...hali yako pambana nayo wala usimshirikishe anko wangu maana haamini hadi muda huu hujasikia habari zake za kufungishwa ndoa ya kapeti maana mkeka ulikosekana. Kanipigia simu anataka niwe mshenga, nimempa namba ya shululu maana sitaki niwe mdhamana nikosane na wewe
 
Binamu naomba nyimbo ya yawa hayo mengine mtajuana wenyewe na anko wako huyo ni kidume acha awowe tu mwanaume sio ndg yako naomba nyimbo mm
 
Binamu Obe naomba nyimbo ya Yawa ya tekno [emoji120] ubarikiwe sana nakupenda tu mimi

Nipo aunt, hongera kwa kunisalimia na kuniombea mibaraka, nawe nakubariki
...kampuni ya tekno imeacha kutengeneza simu inaandaa miziki? Mbona sikulijua hili jamani?
 
Back
Top Bottom