Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binamu naomba nyimbo ya yawa hayo mengine mtajuana wenyewe na anko wako huyo ni kidume acha awowe tu mwanaume sio ndg yako naomba nyimbo mm

....usiandike kama kwamba me namuunga mkono kwenye mambo yake ya kimakinikia, ila kuna jambo moja kanambia, anasema twende kwa BH pamoja

Nimeupata wimbo unaousema, nikajua ni mambo ya simu maana tekno hawaeleweki
 
Muziki: Kumbuka Mazuri Utabasamu

Makapuku hiki si kipengele cha siku zote ulichokizoea toka kwangu kuja kwako yaani kama Chakachaka, from me to you. Kipengele chenyewe kitakuja katika muda wake wa kawaida maana mimi kuwahi sijui na kuchelewa sio kwamba sijafika.

Tumeumbwa na hulka moja ambayo si nzuri kiafya ya roho na mwili, mara nyingi huwa tunapenda kukumbuka mambo ya jana na juzi ambayo yalitunyong'onyeza kwa kuwa tu leo na muda huu tumejikwaa kidogo. si wanasemaga majaribu ni mtaji na dhahabu ili iwe dhahabu lazima ipitishwe kwenye moto na kwa msemo wa anko wangu pombe nzuri lazima ichache kwanza na maziwa yakichacha yanakuwa mtindi ambao mimi naupenda sana. Mimi na mtindi na shanga kwa kweli ninapenda hadi natamani kumpa rushwa muadhini anirushe mida ya kuamka.

Muziki huu umeombwa na aunt yangu mnayemfahamu Shunie ambaye ni mke anayejulikana wa anko wangu. Kwa sasa anapambana ana hali yake na akisikiza muziki huu atatabasamu na kuachana na kulamba ndimu

Huko siendi na yeyote kama kwenda naenda mwenyewe tu
 
.....nawaangalia tu anko wangu Lyon Lee mnavyomshambulia mpenzi wangu namba moja, wangu mwenyewe husna muba

Yaani kwa maneno yenu kuwa mtamgawa eti hadi kwa kisado cha mahindi basi mimi ndo midadi inanipanda ya kumpenda yeye
Nasie ndio tunapenda umpende ndugu yetu masuala ya kumtia jakamoyo mdogo wangu sipendi.. nampenda kichiz mdogo wamgu, ye ndio furaha yangu iliyobakia, mpende mpaka wivu ukimbie..

Kwahyo huyu ni namba 1... Kuna 2,3 mpaka trilioni au!!?
 
Muziki: Kumbuka Mazuri Utabasamu

Makapuku hiki si kipengele cha siku zote ulichokizoea toka kwangu kuja kwako yaani kama Chakachaka, from me to you. Kipengele chenyewe kitakuja katika muda wake wa kawaida maana mimi kuwahi sijui na kuchelewa sio kwamba sijafika.

Tumeumbwa na hulka moja ambayo si nzuri kiafya ya roho na mwili, mara nyingi huwa tunapenda kukumbuka mambo ya jana na juzi ambayo yalitunyong'onyeza kwa kuwa tu leo na muda huu tumejikwaa kidogo. si wanasemaga majaribu ni mtaji na dhahabu ili iwe dhahabu lazima ipitishwe kwenye moto na kwa msemo wa anko wangu pombe nzuri lazima ichache kwanza na maziwa yakichacha yanakuwa mtindi ambao mimi naupenda sana. Mimi na mtindi na shanga kwa kweli ninapenda hadi natamani kumpa rushwa muadhini anirushe mida ya kuamka.

Muziki huu umeombwa na aunt yangu mnayemfahamu Shunie ambaye ni mke anayejulikana wa anko wangu. Kwa sasa anapambana ana hali yake na akisikiza muziki huu atatabasamu na kuachana na kulamba ndimu

Binamu asante sana
 
...hali yako pambana nayo wala usimshirikishe anko wangu maana haamini hadi muda huu hujasikia habari zake za kufungishwa ndoa ya kapeti maana mkeka ulikosekana. Kanipigia simu anataka niwe mshenga, nimempa namba ya shululu maana sitaki niwe mdhamana nikosane na wewe
Teh teh teh.. usimtoe roho ndugu yangu aisee..
 
Nasie ndio tunapenda umpende ndugu yetu masuala ya kumtia jakamoyo mdogo wangu sipendi.. nampenda kichiz mdogo wamgu, ye ndio furaha yangu iliyobakia, mpende mpaka wivu ukimbie..

Kwahyo huyu ni namba 1... Kuna 2,3 mpaka trilioni au!!?

...ha hahahahaha, kwani kwenye makinikia si tulisema tutapata matrilioni tukaishia bilioni za kusafisha mikono. 1-3 ni yeye hakuna mwingine anayejulikana hapa
 
Binamu naomba nyimbo ya yawa hayo mengine mtajuana wenyewe na anko wako huyo ni kidume acha awowe tu mwanaume sio ndg yako naomba nyimbo mm
Somo langu ulilielewa sana..

Mimi kama katibu wa kf kwenye masuala ya mabandiko na mapost.. napitisha post ya wimbo wa yawa..

Aisee obe muwekee ndugu yangu hicho kitu akonge moyo wake.
 
Muziki: Kumbuka Mazuri Utabasamu

Makapuku hiki si kipengele cha siku zote ulichokizoea toka kwangu kuja kwako yaani kama Chakachaka, from me to you. Kipengele chenyewe kitakuja katika muda wake wa kawaida maana mimi kuwahi sijui na kuchelewa sio kwamba sijafika.

Tumeumbwa na hulka moja ambayo si nzuri kiafya ya roho na mwili, mara nyingi huwa tunapenda kukumbuka mambo ya jana na juzi ambayo yalitunyong'onyeza kwa kuwa tu leo na muda huu tumejikwaa kidogo. si wanasemaga majaribu ni mtaji na dhahabu ili iwe dhahabu lazima ipitishwe kwenye moto na kwa msemo wa anko wangu pombe nzuri lazima ichache kwanza na maziwa yakichacha yanakuwa mtindi ambao mimi naupenda sana. Mimi na mtindi na shanga kwa kweli ninapenda hadi natamani kumpa rushwa muadhini anirushe mida ya kuamka.

Muziki huu umeombwa na aunt yangu mnayemfahamu Shunie ambaye ni mke anayejulikana wa anko wangu. Kwa sasa anapambana ana hali yake na akisikiza muziki huu atatabasamu na kuachana na kulamba ndimu

Shunie kula kitu hiko.. agiza na kilaji barid tutalipa hata mwakani maana hata serikali yetu inadaiwa ndio itakuwa sisi bhana..
 
...ha hahahahaha, kwani kwenye makinikia si tulisema tutapata matrilioni tukaishia bilioni za kusafisha mikono. 1-3 ni yeye hakuna mwingine anayejulikana hapa
Naomba useme yuko pekee yake au lugha yoyote ilr tofauti na kusema yeye ni namba moja jomba.. aisee ukimuumiza huyo koo lako halali yangu, ntakualshabab chief..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom