Makapuku Forum

Makapuku Forum

09b526632a4b209cd83611c97b29eed7.jpg
 
*KINYWA CHA YESU*

Kinywa cha Yesu kilijawa na

Neno la Uzima
Neno la Faraja
Neno la Hekima
Neno la Maarifa
Neno la Haki
Neno la Hukumu
Neno la Rehema
Neno la Upendo

Katika haya machache neno kuu
Lililo kinywani Mwa Bwana Yesu
Ni maneno mawili tu nayo ni

*Neno la Rehema*
*Neno la Upendo*

Katika maneno haya mawili lililo
Kuu zaidi ni *Upendo* ndilo neno
Lililo jawa ndani ya Mungu Mwana

Neno hili la *Upendo* ni Neno liletalo
Faraja kwa kila amwaminiye Yesu
Kristo kuwa ni Bwana na Mwokozi
Wa Maisha yake.

Ndiyo maana leo watu hukusanyika
Katika nyumba za ibada ili kupata
*Neno la Faraja* kutoka katika
*vinywa vya watumishi wa Mungu*

Najua unahitaji *Neno la Faraja*
Basi usifanye moyo wako kuwa
Kama mgumu, ilihali njia ipo
Ya kupata *Faraja*

Kama ilivyo andikwa


Mathayo 11:28-30
[28]Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
*[29]Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;*
[30]kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.

Penda kuwa mwanafunzi wa Yesu
Hudhuria mafundisho ya Yesu
Kila wakati na kila Siku
Nawe utapata raha Nafsini mwako
Na moyo wako uta msifu Bwana.

*Neno la Faraja*
 
*KINYWA CHA YESU*

Kinywa cha Yesu kilijawa na

Neno la Uzima
Neno la Faraja
Neno la Hekima
Neno la Maarifa
Neno la Haki
Neno la Hukumu
Neno la Rehema
Neno la Upendo

Katika haya machache neno kuu
Lililo kinywani Mwa Bwana Yesu
Ni maneno mawili tu nayo ni

*Neno la Rehema*
*Neno la Upendo*

Katika maneno haya mawili lililo
Kuu zaidi ni *Upendo* ndilo neno
Lililo jawa ndani ya Mungu Mwana

Neno hili la *Upendo* ni Neno liletalo
Faraja kwa kila amwaminiye Yesu
Kristo kuwa ni Bwana na Mwokozi
Wa Maisha yake.

Ndiyo maana leo watu hukusanyika
Katika nyumba za ibada ili kupata
*Neno la Faraja* kutoka katika
*vinywa vya watumishi wa Mungu*

Najua unahitaji *Neno la Faraja*
Basi usifanye moyo wako kuwa
Kama mgumu, ilihali njia ipo
Ya kupata *Faraja*

Kama ilivyo andikwa


Mathayo 11:28-30
[28]Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
*[29]Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;*
[30]kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.

Penda kuwa mwanafunzi wa Yesu
Hudhuria mafundisho ya Yesu
Kila wakati na kila Siku
Nawe utapata raha Nafsini mwako
Na moyo wako uta msifu Bwana.

*Neno la Faraja*
Neno zuri huishi. Mungu Aendelee kukubariki mtumishi mwema
 
Mary Alipomaliza kukumbuka, alishangaa kuona chupi yake ipo nusu.. Ilionekana hata sheby hakuwa akitania tena kama alivyotaka kufanya utani juu yake,

ENDELEA...........



Wakati huo huku reception rose alikuwa hakai, yaani kiti kilikuwa kina moto, maskini wasichana wa watu hawajazoea tabia ya kutoa mwili kwasababu ya kazi,.. Rose alikuwa kasimama huku akiwaza juu ya rafiki yake,..... Na ni kweli mary ni mzuri kuliko hata rose, mary anavutia ana umbo zuri, ana sura nzuri.. Japo jinsi ya kumteka mwanaume ndio hajui,.. Ila ukiwaona unaweza sema ni machangudoa lakini wala tu, ni watu wa kujiheshim kiasi chao, mavazi hua wanavaa vazi lolote na hata kuja arusha kutafuta maisha walikutana na rafiki yao ambae kwao kuna noti, hivyo wakawa wanaishi kupitia rafiki yao huyo, hata nguo walikuwa wakivaa nguo za huyo rafiki yao aitwae mwana,.. Kwasababu kwao kuna pesa, lakini wakaona ni ujinga, watamtegemea mwana mpaka lini, watavaa nguo zake mpaka lini, watajishebedua kwa uwezo wake mpaka lini... Hivyo wakaamua kuchukuwa vyeti vyao kisha wakaanza kuzunguka mjini ili waweze kupata kazi, waliingia kampuni nyingi sana lakini vigezo vyao havikuwa vikiwapatia kazi,.. Na ni kweli kwa kazi walizokuwa wanaomba kiukweli hawana kigezo hata kimoja,.. Lakini wamejiamini na kuja kutafuta kazi.. Kwenye kampuni kubwa kama hio kuajiri mfanyakazi mwenye elimu ya kidato cha nne, ni kuidhalilisha kampuni, mana kitengo atakachokaa mtu huyo hakutokosekana uharibifu kwasababu hana uzoefu na kazi hio na hata elimu pia hawana vizuri.. Na ukikuta kidato cha nne yupo kwenye kampuni kubwa basi ujue kachomekwa kisiri siri tu...
"dada kaa"
 
Aliongea Secretary huku akimuonea huruma.. Rose badala ya kukaa alimfuata yule Secretary na kumuuliza
"Samahani dada, eti boss we anapenda sana wanawake"
Rose aliuliza ili kujua kuwa rafiki yake atapo au ataumizwa..
"boss mdogo au mkubwa"
"mdogo"
"hhhhmmm kiukweli tabia hio hana, labda aanze hivi karibuni"
Aliongea mwanadada amina ambae ni Secretary wa kampuni hio.. Lakini wakiwa wanaongea, ghafla simu ya Secretary ya hapo mezani iliita
"haloo boss"
Haikusikia sauti ya boss, lakini aliongea kuhusu rose
"sawa boss"
Simu ilikata kisha amina akamwambia rose kuwa
"boss anakuita"
Aliongea Secretary huku akiendelea na kazi zake
"boss mdogo eee"
"ndio"
Rose alitoka hapo mpaka mlango na kugonga kwa heshima ya hali ya juu mno,.. Huku akiwa na wasiwasi juu ya rafiki yake mary kama tayari keshaumizwa nini...
"karibu"
Aliongea sheby huku rose anaingia kwa kuangalia masofa kama yamevurugwa vurugwa, lakini masofa ya watu yalikuwa yamepangika kama ilivyo,... Kana kwamba hakukuwa na ngumi za utu uzima eneo hilo, rose alikaa lakini macho yake yako kwa rafiki yake ili kupata hata hisia za kuumizwa kwake..
Wakati mary kakaa kwenye kiti na rose kakaa kwenye kiti na yeye...
"sasa, ninyi mnajua kingereza vizuri"
Rose na mary waliangaliana,..
"ndio"
Aliitikia rose peke yake lakini mary alinyamaza, na rose kweli kwa kiasi fulani yeye amesoma mpaka kidato cha sita, hivyo kalugha ka kigeni kidogo bado kapo, lakini mary alioishia kidato cha nne alikuwa kimya,...
 
"mary vipi mbona kimya"
Aliuliza kijana sheby, huku akishika kichwa mana wasichana hao walikuwa pasua kichwa,...
"boss, kiukweli mimi sikua makini sana shuleni, ba siwezi kuitika kwa kitu ambacho sikijui"
Aliongea mary, huku akiwa na huzuni, lakini sasa rose yeye wasiwasi wake ni kutaka kujua mary kamegwa kweli au vipi.. Nadhani hata wasomaji mnatamani mjue hilo..
"ok.. Na kupiga hesabu za haraka haraka bila kutumia kalukuleta si mnaweza... "
"hapana boss"
"mungu wangu weeeee.. Kweli hapa kazi ipo"
Ghafla wote wakapiga goti chini kuomba msaada juu ya kupata kwao kazi,
"ah ah sasa mbona mnapiga magoti.. Hebu amkeni bwana, msiwe hivyo, kama ipo ipo tu"
Aliongea sheby huku akiendelea kucheki vyeti vyao tena...
"ok... Sasa, heeeeee mtanipa kazi sana nyie... Ok... Sasa itabidi nitenge muda wangu sasa wa kuanza kuwafundisha kazi kuhusu kampuni hii, itabidi nidanganye mmepata msiba wa ghafla, ili ndani ya hio wiki mjifunze kazi.... Kiufupi ni kwamba vyeti vyenu haviwezi kuwapa kazi hata kidogo... Bado vipo chini sana kwenye kampuni kama hiii.. Vyeti kama hivi labda ukaombe kazi A to Z au Sun Flag... Lakini sio hapa... Nitawaseidia kazi lakini itabidi mnionyeshe kwenu ili nije niwape mafunzo mawili matatu mkiwa wote"
Rose na mary kuskia hivyo walifurahi sana, walikumbatiana kwa kupata kazi.. Lakini ilikuwa ni kama kuseidiana hivi,...
"ok nendeni mkanisubiri hapo nje"
Aliongea kijana huyo huku akiwapa vyeti vyao nae anatoka kuelekea ofisini kwa baba yake,... Wakati huo akina rose wanapita hapo reception wanakutana na amina au Secretary
"vipi jamani mmefanikiwa"
Aliuliza amina huku akiwa na shauku ya kujua
 
vipi jamani mmefanikiwa"
Aliuliza amina huku akiwa na shauku ya kujua
"ndio dada, lakini ghafla tu tumepata msiba, hivyo tuhudhurie kwanza"
Aliongea rose mana ndio keshazoeana na amina,..
"oooohhh poleni sana"
Basi akina rose na mary walitoka nje na kumsubiri boss wao,...

Wakati huo huo huku ndani kwa mzee akiwa na mtoto wake
"enhee umeshawakagua vyeti vyao"
Aliuliza baba huyo huku sheby bila kujing'ata ng'ata alimjibu
"ndio, na wapo vizuri.. Vyeti vyao vinaruhusu kupata kazi na tayari nimeshawapatia.. Lakini kwa bahati mbaya wamepata msiba hivyo watahitajika waende"
"ooohhhh wape pole sana.. Na kwakuwa tayari ni miongoni mwa wafanyakazi basi wapatie chochote kama rambirambi"
"sawa mzee"
"sawa kazi njema"
Sheby alimdanganya baba yake kuwa wadada hao walifaa kazini na vyeti vyao vinaruhusu kufanya kazi hapa.. Lakini sio kweli bali sheby aliwaingiza kisiri siri.... Tena ni hatari sana kwa kampuni yao mana wasipokuwa waelewa na kile watakacho fundishwa, basi kuna uwezekano wa kuingia hasara kubwa tu...
"ok twendeni.. "
Sheby aliwachukuwa wadada hao mpaka nyumbani kwao,.. Wasichana hao walipangisha chumba kimoja tu wao wawili,.. Basi sheby alijua nyumbani kwao hivyo akitoka kazini saa 11 jioni, basi aje kuwafundisha masaaa mawili hawa wasichana ili wapate kazi na wafanye kazi kwa uwelewa mzuri..
"naomba kila saa 11 niwakute, yaani fanyeni yenu mchana wote huo, lakini ifikapo saa 11 jioni mrudi ili niwakute hapa... Hilo zoezi tutalianza kesho"
"sawa boss.. Ahsante sana"
"msijali"
Sheby aliondoka zake na hata hivyo muda ulikuwa umekwisha, hivyo alirudi kule kazini ili kuweka mafile sawa,.. Aliifanya kazi hio mpaka kagiza kalianza kutanda,.. Ilipofika saa moja kamili jioni ndio kamaliza kazi yake, hivyo alichukuwa gari yake kisha huyoo kaondoka zake.. Wakati huo kila mfanyakazi alishaondoka muda mrefu sana, sema sheby yeye kuna baadhi ya document hakuziweka vizuri hivyo ndio maana amechelewa kurudi... Sasa Sheby kufika pale kwa yule kipofu alishtuka sana kuona yule dada mpaka saa hizi yupo kana kwamba hakuja kuchukuliwa na mama yake.. Sheby alipaki gari pembeni na kushuka,.. Lakini zaituni kunusa pua, aligundua karibu yake kuna mtu mwenye pafyumu ambayo alishawahi kuinusa kabla
"hapa mbele kuna mtu namjua"
Aliongea zaituni ambae alikuwa ni kipofu
"anaitwa nani"
 
jina simjui..."
"ok...iv unajua sasa hivi ni saa ngapi"
"itakuwa bado ni saa 10 jioni"
"hapana, sasa hivi ni saa moja usiku"
Zaituni kusikia hivyo aliruka na kumlilia sheby amseidie,...
"nini kwani"
"watanibaka tena..... Kumbe ni usiku.. Kaka niseidie, nitabakwa tena"
Heeeeeeee sasa sheby anashangaa, ina maana alishabakwaga,..
Sheby alijikuta analia tu kwa kuskia hivyo, yaani watu hawana hata huruma, mtu ni kipofu lakini wanambaka,...
"ulibakwa lini"
"muda tu, kama miezi sita imeshapita walinibaka wanaume wawili,... Naomba unilinde kaka, mimi nakuja kwa harufu yako tu"
Wakati huo sheby hisia za kimapenzi zilishamjia, afu kumbe sheby alishampenda huyo dada na ndio maana anang'ang'anua ile safari ya kwenda india ili aende nae kule kuna wataalam wa matibabu,.. Na hio ndio sababu ya sheby kutaka kwenda india,... Wakati huo zaituni kamkumbatia sheby, mana anajua akimuachia tu atabakwa, na wakati huo sheby hisia za kimapenzi zimemjaa tele,.. Mana hilo toto sio toto la mchezo mchezo, ni bonge la msichana, yaani hata angelikuwa kuchaa, angebakwa tuu, mana anaita vilivyo..
"unaitwa nani"
"naitwa zaituni"
"mmmhhh natamani kukuoa"
Zai kidogo tu azimie kwa kusikia neno hilo, mana akikumbuka kipindi cha uhai wa macho yake alikuwa akiletewa posa kabisa, lakini leo anataamkiwa kuwa anamaniwa kuolewa...
"kiukweli kaka yangu kwa sasa siwezi kuwa mke bora kwako, siwezi"
"kwanini"
"sababu nyingi sana ninazo... Lakini moja wapo ni kwamba nitawezaje kukuhudumia kama mkeo,.. Kiukweli siwezi"
Sheby kweli alikuwa anatamani kumuoa huyu mtoto wa kike, mana ana ndoto za kumfanya aone kwa mara nyingine tena,....
"utaweza tu..."
 
Sheby aliongea hivyo huku akimtoa mwilini mwake, mana zai alimkumbatia sheby kwa kuogopa kubakwa... Lakini ghafla mama yake katokea huku akiwa anakimbia kweli kweli...
"wewe mwanaume ni nani muachie mwanangu"
Ilikuwa ni usiku kuna kagiza hivyo hata mama huyo hakumuona sheby,
"mama huyu ni yule kaka wa juzi"
Sasa mama kuangalia vizuri alimuona sheby
"eeee baba nisamehe sijakuona... Una kuna binadamu sio watu, na wala sitaki kusema"
"mama nimeshamwambia"
Aliongea zai kumaanisha hicho alichotaka kusema mama huyo, tayari zai keshasema kuwa alibakwa
"shkamoo mama"
"marahaba baba habari za toka juzi"
"aaahhh nzuri tu.... Sasa mama naomba niwapeleke"
"jamani baba tutakuchelewesha"
"hakuna shida"
Basi sheby aliwaingiza katika gari na kuondoka nao mpaka kwao...

Sasa walipikuwa wanashuka katika gari, zainabu alikuepo kwa pembeni tena alikuwa na rafiki yake neema,..
"heeeeeeee mdogo wako leo kaletwa na gari kali"
Wakati huo zainabu bado kazubaa tu, kwa kuona mdogo wake bado anaendelea na bahati zake,..
Yaani zainabu na Zaituni wamefanana kila kitu, yaani kasoro rangi, tena rangi yenyewe sio sana mana zainabu keshaanza kujikoboa koboa, hivyo ana ngozi ya maji ya kunde hivi,. Sura wanafanana, shepu, kifuani, yaani kila kona ni wao..
Basi sheby alimchukua zaituni na kumkokota mpaka ndani kwao,..
"karibu baba"
Mama alikuwa akimueshim sana sheby,..... Lakini kuna sauti iliskika kwa mbali ikisema
"wewe si unajijua una ugonjwa lakini, sasa ukimuambukiza kaka wa watu"
"potelea pote.. Liwalo naliwe, kwani ugonjwa ni nini bwana?, mi nataka nimuweke kiganjani kwa mapenzi tu,.. Wacha nikampe tunda langu hata kama lina ugonjwa atajijua mwenyewe"
Iliskia hio sauti kwa nje... Ila huku ndani mama alizidi kumkaribisha sheby akae katika kochi.. Lakini sheby ghafla alishikwa na haja ndogo na kuomba kutoka msalani..
"Ahsante mama angu... Ahh naomba niingie msalani kidogo"
 
Aliongea sheby kuwa anaomba aingie msalani kidogo..
"sawa baba, utazunguka tu hapo nyuma"
Basi sheby alitoka nje na kuingia msalani, huku ndani mama anamuuliza mtoto wake
"wewe mbona nilikukuta mmekumbatiana"
"lakini mama mbona umechelewa kuja lakini, au nia yako nibakwe tena"
"hapana mwanangu usiseme hivyo, kuna mteja nilikuwa nampelekea ndizi sasa ndio nikachelewa, nisamehe mwanangu"
"sawa lakini sio vizuri mama.."
"nisamehe mwanangu zai"
"sawa mama.... Afu mama.. Yule kasema anatamani kunioa"
"mmhhh kakudanganya, mwanaume nani wakati huu aoe kipofu"
"mama kasema kweli"
"hawezi kufanya hivyo"
"mamaaaaaaa unanikatisha tamaa mwanao"
"basi mwanangu kama kasema hivyo basi wacha tuangalie kinachofuata"

Sheby akiwa anatoka msalani tena huku akiwa na furaha,.. Kila akilifikiria lile umbo la zaituni, anapata ukichaa, yaani ni mtoto wa haja,.. Afu heshima imejaa pale,..
"yaani mtoto alinisisimua pale alipo nikumbatia"
Aliongea sheby huku akitoka msalani,.. Lakini ghafla anakutana na zaituni akiwa kashika kamti kake na miwani yake
"we zaituni unakwenda wapi huko"
Aliongea sheby, huku akimfuata kwa kumkimbilia
"nilikuwa nakutafuta wewe"
"nipo hapa"
Sheby kafurahi mno kuona zai katoka nje,..
"naomba tuongelee ndani ya gari"
Aliongea zaituni huku akimshika shika sheby sehemu za kifua... Sheby kwa raha alimbeba mpaka kwenye gari,.. Sasa kufika kwenye gari sketi ya zaituni ilipanda juu, hivyo shepu lake likaonekana live,.. Sheby kuona mipaja ya zaituni, macho yalimtoka na kujikuta anayatetemekea,.. Na zaituni kwa makusudi anazidi kuipandisha sketi hio mpaka chupi ikaonekana bila chenga, tena zaituni kwa kusudi alijilaza kabisaaa, huku sheby akiona ni bonge la zari la mentali kutembea na mrembo kipofu,....

Sasa zaituni akiwa anataka kuivua ile chupi, alikumbuka alipkuwa nje akiongea hivi...
"neema, mimi nataka nimtege huyu mpenzi wa zaituni awe wangu... Nataka hata ikiwezekana anifanyie lolote lile"
"heeeee we neema kumbuka ni kama shemeji yako huyo eti"
"sasa usheji si kuzima taa... Hii hainaga ushemeji neema we tulia kama maji ya mtungi"
"ina maana zainabu... Huyo kaka akitaka papuch yako unampa"
"heeeeee nimnyimie nini sasa... Wacha ale ili anogewe aje kwangu"
"Lakini we zainabu wewe si unajijua una ugonjwa lakini, sasa ukimuambukiza kaka wa watu"
 
potelea pote.. Liwalo naliwe, kwani ugonjwa ni nini bwana?, mi nataka nimuweke kiganjani kwa mapenzi tu,.. Wacha nikampe tunda langu hata kama lina ugonjwa atajijua mwenyewe"
Kuumbe Huyo hakuwa zaituni,.. Mungu wangu weeee, afu mbaya zaidi ni kwamba inasemekana zainabu ana ugonjwa ila hatujui ni ugonjwa gani,... Na sheby wakati huo anaona chupi ya zainabu inashushwa, yeye anajua ni zaituni ndio anamshushia chupi, kumbe sie... Udenda ulimtoka sheby kila akiina maungo ya zainabu, ila hajui kama ni zainabu,... Zainabu aliiacha chupi katikati ya mapaja yake, kisha akaifuata zipu ya sheby iliokuwa nyepesi kuvuta.... Laaaaaa Haulaaaaa maskini sheby wa watu ndio huyo anakubali kuvuliwa suruali, tena sheby mwenyewe wakati huo ana moto wa kula tunda hilo... Kila akiona chupi ilivyoishia magotini ndio anazidi kupata joto la mapenzi...


Je? Zainabu atakamilisha mpango wake??... Na je? Sheby atagundua vipi kua huyo sio zaituni bali ni zainabu??...
 
Mama watoto hawa Mungu anazidi kuwaongoza na wote watatu wanaendelea vizuri kwa sababu kwenye social media naona wanazidi kutamba
98b0471cb16d7e6eea8f0b446638d023.jpg


Mkubwa kwa sasa ana miaka kama sikosei miaka 20 akijulikana kama "Prince " – Michael Joseph Jackson, Jr.,
02c8c1835e25a27b2462d79ddc6ee264.jpg

Ndo kijana wake wa kwanza japo vyanzo vingi vinaonesha kiukweli ameshindwa kuishi maisha ya mziki kama babake...japo anafanya kazi nyingine za entertainments make nakumbuka ashawahi kuhost baadhi ya awards ...
Kwa sasa anasoma business at L.A.’s Loyola Marymount University

Wa pili wa kike akijulikana kama Paris Jackson na huyu ndo inasemekana anaishi maisha halisi ya babake kiukweli ...sauti anaichezea kama baba haswa

Miaka inawezekana wanatofautiana na kaka yake Prince kama mwaka mmoja
9b3476c05b4f65de220ba95918e7241b.jpg


Picha juu ni prince akiwa na Paris ..kwenye records za Hollywood yupo sana na anatengeneza pesa za kutosha

Wa mwisho mdogo kabisa ni Blanket Jackson
1862a87ee7e9098e5121203d4dcfae53.jpg

japo vyanzo vingi vinaonesha huyu mtundu sana, na mkorofi kuliko ndugu zake wote na inasemekana jina la Blanket amelibadirisha kama sikosei Bigi ndo anajiita
6ff3b815187590ba3b964390a93a6d1e.jpg


Juu dada na mdogo wake .

Kwa kifupi na hayo japo nimeweka hapa sijajua ulimanisha nn uliposema kule
kuleee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom