Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mama watoto hawa Mungu anazidi kuwaongoza na wote watatu wanaendelea vizuri kwa sababu kwenye social media naona wanazidi kutamba
98b0471cb16d7e6eea8f0b446638d023.jpg


Mkubwa kwa sasa ana miaka kama sikosei miaka 20 akijulikana kama "Prince " – Michael Joseph Jackson, Jr.,
02c8c1835e25a27b2462d79ddc6ee264.jpg

Ndo kijana wake wa kwanza japo vyanzo vingi vinaonesha kiukweli ameshindwa kuishi maisha ya mziki kama babake...japo anafanya kazi nyingine za entertainments make nakumbuka ashawahi kuhost baadhi ya awards ...
Kwa sasa anasoma business at L.A.’s Loyola Marymount University

Wa pili wa kike akijulikana kama Paris Jackson na huyu ndo inasemekana anaishi maisha halisi ya babake kiukweli ...sauti anaichezea kama baba haswa

Miaka inawezekana wanatofautiana na kaka yake Prince kama mwaka mmoja
9b3476c05b4f65de220ba95918e7241b.jpg


Picha juu ni prince akiwa na Paris ..kwenye records za Hollywood yupo sana na anatengeneza pesa za kutosha

Wa mwisho mdogo kabisa ni Blanket Jackson
1862a87ee7e9098e5121203d4dcfae53.jpg

japo vyanzo vingi vinaonesha huyu mtundu sana, na mkorofi kuliko ndugu zake wote na inasemekana jina la Blanket amelibadirisha kama sikosei Bigi ndo anajiita
6ff3b815187590ba3b964390a93a6d1e.jpg


Juu dada na mdogo wake .

Kwa kifupi na hayo japo nimeweka hapa sijajua ulimanisha nn uliposema kule
Waooo wonderful ,Mungu ni mwema sana sana maana wakati wanakua baba akiwepo niliwahi sikia malezi yalikua yabtofauti sana..ukweli Mambo mengi hutokea ili Mungu ajidhihirishe...nimefurahi Lyon..UMETISHA MWANANGU ,NI HABARI SIJAZISIKIA KABISA UBARIKIWE ASANTE SANA KWA MUDA WAKO ...LOVE YOU SON
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom