Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa sauti ya tetraIn ny voice
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa sauti ya tetraIn ny voice
Pambaneni na hali zenuNa hela za biko atugawie
Ikiiisha naona labda ndo tutamuonaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kanajifanya hakapajui eti![emoji3] [emoji3] [emoji3] kuleee
Ndio niniii kuquote story yote jamanAsante kwa hadithiii
Nimepoa tiariLiume mshikajiiii
Pole sana
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Husna na mpendwa wake na tumosa na shemela shululu ila nakuona na wewe unaelekea kuwa nao muda si mrefu nakuingiza kwenye list
Mmmmh...!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ata sikumuelewaa
Pole sana jamanJinoo laumaaa[emoji24]
Ameen mama kwa neno [emoji120] barikiwa sana[emoji524] *KINYWA CHA YESU*
Kinywa cha Yesu kilijawa na
[emoji117] Neno la Uzima
[emoji117] Neno la Faraja
[emoji117] Neno la Hekima
[emoji117] Neno la Maarifa
[emoji117] Neno la Haki
[emoji117] Neno la Hukumu
[emoji117] Neno la Rehema
[emoji117] Neno la Upendo
Katika haya machache neno kuu
Lililo kinywani Mwa Bwana Yesu
Ni maneno mawili tu nayo ni
[emoji117] *Neno la Rehema*
[emoji117] *Neno la Upendo*
Katika maneno haya mawili lililo
Kuu zaidi ni *Upendo* ndilo neno
Lililo jawa ndani ya Mungu Mwana
Neno hili la *Upendo* ni Neno liletalo
Faraja kwa kila amwaminiye Yesu
Kristo kuwa ni Bwana na Mwokozi
Wa Maisha yake.
Ndiyo maana leo watu hukusanyika
Katika nyumba za ibada ili kupata
*Neno la Faraja* kutoka katika
*vinywa vya watumishi wa Mungu*
Najua unahitaji *Neno la Faraja*
Basi usifanye moyo wako kuwa
Kama mgumu, ilihali njia ipo
Ya kupata *Faraja*
Kama ilivyo andikwa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mathayo 11:28-30
[28]Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
*[29]Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;*
[30]kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
Penda kuwa mwanafunzi wa Yesu
Hudhuria mafundisho ya Yesu
Kila wakati na kila Siku
Nawe utapata raha Nafsini mwako
Na moyo wako uta msifu Bwana.
*Neno la Faraja*
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] niende wapi?! Hapa ndio homehusna muba mbaya wangu bado upo??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji123]Nitampa nyumbani hapa Buana napaogopa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
PoleeeeJinoo laumaaa[emoji24]
Nimepoa tiariiiiiiPole sana jaman
Yupo yupo kama hayupoohusna muba mbaya wangu bado upo??
Nzuri mkuuSafi, za siku 2 tatu
Mzee wenger sio wa mchezoHatimaye kocha wa Everton atimuliwa
Shem nakupungia mkonoPambaneni na hali zenu
Kwan kuna ubaya wowote kushukuru??Ndio niniii kuquote story yote jaman
Nini lakini wewe kibedueMmmmh...!!!!