Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG-20171023-WA0002.jpg
Asubuhi njema makapuku wote na mwanzo mwema wa wiki
 
Asante shululu kwa magazeti, asante anko Lyon Lee kwa UF, na shukrani BlessedHope kwa maneno ya baraka.

Ninaimani Makapuku wote tulikuwa na wikend nzuri ukiwaweka pembeni mashabiki wa Man United na Liverpool.
Tuwe na asubuhi njema
Anko shikamoo na taarifa zako nimezipata nazifanyia kazi

Auntie yako shem wangu mm naona kaadimika baada ya kushinda biko ..ongea na binamu wako vizurii
 
Asante anko, ha hahahaha! Kwanza umefanya vizuri kupost wale vijana wa MJ na walipo sasa, mwenyewe nimefurahi na aliyeomba BH kafurahi zaidi.

Aunty yangu hajashinda biko sema yule kuku aliyekuwa aje kwake alipotezwa njiani akaelekea kusikojulikana. Shunie , nakusalimia aunty yangu unayependwa na familia nzima na hasa mimi ninayekujali na kupambana na anko akicheza na moyo wako
 
Sasa hayo mambo ya kuku yameingiaje mbona binamu wako unamfanyia hivo na isitoshe nasikia kuonesha kupendwa kwa aunt yako sangara na sato zinakuja mkabala na kuku
 
.....ha hahaha, aunty yangu kuku ndo aliahidiwa lakini kutokana na sababu zilizo ndani yauwezo wa mjomba wangu kuku akapotea panapojulikana.

Hao sangara na sato nina mashaka. itabidi tu aunty yangu Shunie ajilie mboga ya serikali ambayo tunaambiwa ina kila kitu kinachohitajika na mwili, maharage.
Nitamletea mahindi yaliyokobolewa atengeneze kande
 
Hivi alishindwa kuchukua kuku wawili kila mmoja akapata anachostahili ?
 
Asante anko, ha hahahaha! Kwanza umefanya vizuri kupost wale vijana wa MJ na walipo sasa, mwenyewe nimefurahi na aliyeomba BH kafurahi zaidi.

Aunty yangu hajashinda biko sema yule kuku aliyekuwa aje kwake alipotezwa njiani akaelekea kusikojulikana. Shunie , nakusalimia aunty yangu unayependwa na familia nzima na hasa mimi ninayekujali na kupambana na anko akicheza na moyo wako
Hivi binamu kweli wewe unanipenda
 
Sasa hayo mambo ya kuku yameingiaje mbona binamu wako unamfanyia hivo na isitoshe nasikia kuonesha kupendwa kwa aunt yako sangara na sato zinakuja mkabala na kuku
kula mwenyewe mboga ya serikali hivi unanichukuliaje mimi lakini
.....ha hahaha, aunty yangu kuku ndo aliahidiwa lakini kutokana na sababu zilizo ndani yauwezo wa mjomba wangu kuku akapotea panapojulikana.

Hao sangara na sato nina mashaka. itabidi tu aunty yangu Shunie ajilie mboga ya serikali ambayo tunaambiwa ina kila kitu kinachohitajika na mwili, maharage.
Nitamletea mahindi yaliyokobolewa atengeneze kande
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom