TUOMBE*

Amina ubarikiweTuwe na mwamzo mwema wa wiki
Amen Glory to God asante sanaMuwe na usiku mwema wapendwa.
MUHIMU:
>> mshukuru MUNGU kwa ajili ya siku nzima kwa kukupa kibali ya kufika muda huu.
>> mwombe akulinde usiku huu ili kesho uweze kuamka ukiwa na afya njema na uweze kuendelea na majukumu yako
>> ombea TANZANIA YETU na serikali yetu kwa ujumla.
MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI, AKULINDE, AKUTUNZE na AKUFUNGULIE MILANGO YA BARAKA. AMINA
Natamani kufahamu maendeleo ya hawa watoto umri,wako wapi,wanafanya nini please naomba unisaidie kwa hiliLyon Lee,ukipata nitumie basi kuleeer..Bless you my son
Zaburi 137
ZABURI 27
Asante mama ubarikiwe*TUOMBE*
ASANTE BWANA MUNGU WETU KWA KUTUFIKISHA SIKU HII YA LEO. TUNAOMBA UZIDI KUWA PAMOJA NASI, NENO LAKO NI TAA TUNAOMBA LIMULIKIE MAISHA YETU, TAIFA, SAFARI, ELIMU, BIASHARA, AJIRA AFYA, HUDUMA, MALENGO NA OFISI ZETU.
TUNAKUSHUKURU MUNGU MAANA UNATENDA NI KATIKA JINA LA YESU
TUNAOMBA AMINA.
MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
Amen,barikiwa pia mpendwa*TUOMBE*
ASANTE BWANA MUNGU WETU KWA KUTUFIKISHA SIKU HII YA LEO. TUNAOMBA UZIDI KUWA PAMOJA NASI, NENO LAKO NI TAA TUNAOMBA LIMULIKIE MAISHA YETU, TAIFA, SAFARI, ELIMU, BIASHARA, AJIRA AFYA, HUDUMA, MALENGO NA OFISI ZETU.
TUNAKUSHUKURU MUNGU MAANA UNATENDA NI KATIKA JINA LA YESU
TUNAOMBA AMINA.
MBARIKIWE![]()
![]()
![]()

Mama watoto hawa Mungu anazidi kuwaongoza na wote watatu wanaendelea vizuri kwa sababu kwenye social media naona wanazidi kutambaNatamani kufahamu maendeleo ya hawa watoto umri,wako wapi,wanafanya nini please naomba unisaidie kwa hiliLyon Lee,ukipata nitumie basi kuleeer..Bless you my son

AmenMorning family:
ZABURI 27
4.Neno Moja nimelitaka kwa BWANA,Nalo ndilo nitakalolitafuta,Nikae nyumbani mwa BWANA Siku zote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa BWANA,Na kutafakari hekaluni mwake."
TAFUTA NENO MOJA KWA BABA ATAKUJIBU![]()