Makapuku Forum

Makapuku Forum

sasa anko kuku yupo kweli kwa anko wako au ndo lisemwalo lipo kama halipo linakuja ?

..kuku hayupo jamani, au hadi nitume picha kuonesha kuku hayupo? Na waziri wa uvuvi kakataza kuvua sangara na sato, karuhusu kuvua nguo zako mwenyewe au kumvua mwenzako.

aunty yangu asubiri anko adownload picha za sato na sangara atumiwe, ukijumlisha atakuwa na picha hizi, tatu, ya kuku kuchi, sangara na sato
 
Kuku wangu na samaki zinakuja hivi binamu una nini lakiniii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom