Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Kwenye video callInsta live au
Kwenye video callInsta live au
Nimeanza kuamini maneno yako..kuku hayupo jamani, au hadi nitume picha kuonesha kuku hayupo? Na waziri wa uvuvi kakataza kuvua sangara na sato, karuhusu kuvua nguo zako mwenyewe au kumvua mwenzako.
aunty yangu asubiri anko adownload picha za sato na sangara atumiwe, ukijumlisha atakuwa na picha hizi, tatu, ya kuku kuchi, sangara na sato
Lini hiyoKuku wangu na samaki zinakuja hivi binamu una nini lakiniii
Ili nikose mbuz ...nshakusomaaaa sizimi na ukujee mida pendwaZimaaaaaakwani we baba d
Hapana shemela siwezi kufanya hivyoSafi shemela wangu mimi za wewe eti shemela na wewe unanipiga majungu kuhusu kuku wangu kutokuja
Wanakuja jamanLini hiyo
Sizimi we upambane na hali yako ujue me nakuja mida hiiIli nikose mbuz ...nshakusomaaaa sizimi na ukujee mida pendwa
Sawa shemela nilitaka nishangae sana ujueHapana shemela siwezi kufanya hivyo
LiniiiWanakuja jaman
Vipiiiiiii
Mwezi ujaoLiniii
Bhasi ngoja niwaambie waweke michemsho ya kuku wakoSizimi we upambane na hali yako ujue me nakuja mida hii
November december au januaryMwezi ujao
Wakina naniiiBhasi ngoja niwaambie waweke michemsho ya kuku wako
Una ninii lakini we jua mwezi hujao tuNovember december au january
Hapana shemela siwezi kufanya hivyo
Sawa shemela nilitaka nishangae sana ujue
Safari ya kigamboni hakuna binamu upambane tu na hali yako...hata mimi nilitaka kushangaa sana, maana si kwa hali niliyoiona asubuhi. Binadamu sio watu kabisa