Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Pambana na hali yakooo mama DHapana jaman kuku wangu anakuja mbona mpo hivyo lakini
Pambana na hali yakooo mama DHapana jaman kuku wangu anakuja mbona mpo hivyo lakini
Lini binamu ulimchana kutokana na tabia zake au ndio huwa unazifurahia
Usimfanyiee hivoHuyo kwangu hata maji simpi atapambana na hali yake binamu
Ndio siwezi amenishinda binamu yenuMimi naona jikaze kuendana nae make huyu anajua kukunyooshaa
Pakujipozeaaa mawazo ya kuleeeNimeuliza tu mimi na wewe utakuwa kama wengine bongo movie au utakuwa kama mama d na baba d

Shikamoo anko...umesahau alivyotushia kunipa radhi kisa nimeenda kwa CM kumwambia kuwa aisdanganywe kwani anko wangu ana mke anayempenda sana
Napambana nayo ndio mana kuku anakuja na samakiPambana na hali yakooo mama D
Ndio siwezi amenishinda binamu yenu
Huyo CM ndio nani me sitaki binamu ujue alaf hizo mambo nishazizoea...umesahau alivyotushia kunipa radhi kisa nimeenda kwa CM kumwambia kuwa aisdanganywe kwani anko wangu ana mke anayempenda sana
Simpiiii chochoteUsimfanyiee hivo
Na me nakusalimia sana kwahiyo mnanipiga majungu asubuhi yote hii na binamu wako
Asante ..acha kuku azidii kukua ata mwakan atakuwa ashakuwa kama mbuziNapambana nayo ndio mana kuku anakuja na samaki
Hapana binamu wewe ujue unasabaisha nisiishi kwa amani jamani kila siku hizi mambo nina moyo mimi..ukinichukia wewe aunty yangu mimi hapa mjini nitaishije sasa. Itabidi nirudi kijijini, nihurumie binadamu mwenzako hata kama unaona mimi sio ndugu yako
Ma D mbona umechekaaa
Binamu wewe jamani...nashangaa sana, yaani hata sijaamka wameanza kukupiga majungu, mimi waliponiona wakabadili story maana walijua ninavyokupenda nitakwambia. Huwa sipendi kabisa mtu au watu wakupige majungu
Anakuja jamani mbona hiviAsante ..acha kuku azidii kukua ata mwakan atakuwa ashakuwa kama mbuzi
Nimefurahi mimi jamanMa D mbona umechekaaa
Sasa anko mbona anadai alipelekwa pengine?Anakuja jamani mbona hivi
Huyu anko shida sana