Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
WwahudumuWakina naniii
WwahudumuWakina naniii
Tarehe?Una ninii lakini we jua mwezi hujao tu
He he he yaan we binamu ni shida ujue...mimi mwenyewe najua huwezi kufanya hivyo mdau, ni maneno ya wafitini tu. Hivi inakuwaje mtu anaanza jumatatu na maneno maneno, si asubiri japo watu tupate stafutahi
Sitaki mchemsho mimiWwahudumu
Nashangaa na mimi...mimi mwenyewe najua huwezi kufanya hivyo mdau, ni maneno ya wafitini tu. Hivi inakuwaje mtu anaanza jumatatu na maneno maneno, si asubiri japo watu tupate stafutahi
Sijui hivi una niniiTarehe?
Safari ya kigamboni hakuna binamu upambane tu na hali yako
kwa mama blessed au
Yaan nyie watu jaman mnashaangaana na wakati nyie ndio wazee wa majunguNashangaa na mimi
Huko huko ndio kwenye safari ya kigamboni yaan hakuendeki![]()
![]()
kwa mama blessed au
Na mimi unaniweka kwa wanaokupiga majungu mm namjua husna tuYaan nyie watu jaman mnashaangaana na wakati nyie ndio wazee wa majungu
Hii tangia nipo mdogo naisikia sijui itaendeka liniHuko huko ndio kwenye safari ya kigamboni yaan hakuendeki
Huyu wa leo ni Lee empire ?Sizimi we upambane na hali yako ujue me nakuja mida hii
Lee akiwepo utamjua tu bila kuuliza ila sidhani kama atarudi tena jfHuyu wa leo ni Lee empire ?
Mpaka me nifurahi ndio kutaendekaHii tangia nipo mdogo naisikia sijui itaendeka lini
Husna unamjuaje tenaNa mimi unaniweka kwa wanaokupiga majungu mm namjua husna tu
Mjadala unaendeleaa??Lee akiwepo utamjua tu bila kuuliza ila sidhani kama atarudi tena jf
Lee akiwepo utamjua tu bila kuuliza ila sidhani kama atarudi tena jf
Mbona umefurahi hivyo
Ulinambia ndo hakutakii mema na kivuruge akoHusna unamjuaje tena