Makapuku Forum

Makapuku Forum

18843b3414459d35825f0ddb5158b47b.jpg

[emoji123][emoji123][emoji123]
Jembe hiliii
 
Kichwani ushaweka mawazo ya top layer au ukute hiyo alhamis kuna kitu cha nyaliiiii na matunda[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Shulee rahaa broo
Alafu polar unanywea kwenye vidondoo vya OMO vile..

Yaani mtu ametumia sabuni ya Unga imeisha..

Sasa lile dude ndio la kuwekea polar [emoji3][emoji3]
 
Sijuii hii ulikumbana nayo? Zamu ya kudishi na kuosha dish
Disher
Olevel

Ilikuwa weww unaepakuwa chakula ndio unabaki na Dish la kuosha.

Sasa hapo obvious lazima ubaki na msosi wa maaana

Ila madish watu waliyopenda ni dish la:
1. Wali
2. Maharage
3. Nyama
4. Pilau

Dish la kande na ugali halikuwa na wapiganiaji wala. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaaap

Ila mda mwingine unakuja mida ya polar tu kwa tuliokuwa off campus
 
Back
Top Bottom