Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Vidonda vya tumbo?!Pray for me Guys am so Sick..
Vidonda vya tumbo?!Pray for me Guys am so Sick..
Anko kashalewaa huyuUmerudi tena baki bencha eeeh inatakiwa ukae mbele ili ucpitwe na mapya
Anko kuna mambo nayaweka sawa si unajua nshakuwa mbobezi wa hizi mambo vile ulinifundisha na akili ya kuzaliwa naitafuta moshi road
Nakwambia alafu anayeniongoza kasinzia naweza badirisha road hapa nkakufataha hahahahah, kufika Moshi road usipotee tu lazima ufike old moshi, majengo
Kweliiii
Wee...toka apaa
Kama kawaVidonda vya tumbo?!
Na jirani yule vipiiiAsante mpenzi wangu. yaani wewe nakupenda hadi najionea wivu. Unanitetea na kunijali bila kujali mapungufu yangu siku za Ijumaa
Nakwambia alafu anayeniongoza kasinzia naweza badirisha road hapa nkakufata
Na jirani yule vipiii
Ni poa karibu sana kwetu jisikie upo majukwaa mengineNiaje
Mwenza si wewe apo![]()
![]()
![]()
namaanisha umtafutie mwenza wake
Binamu shkamoo nakupa taarifa tu kuku wangu anakuja....niite taratibu, niko maeneo ya viwanja vipya

Nini wewe kuquote story yoteThnx cwthrt
Auntie akapambane na hali yake anko hii wkend ujue....vipi, tumpitie na aunty au tumuache apambane na hali yake. Aendelee kusikiliza kwaya hadi aangukiwe na spika za kanisani