Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ayo ndo maneno ankoNimeiboresha binamu. Yule jirani kakaa hapa pembeni anaburudika na bakulutu
Ayo ndo maneno ankoNimeiboresha binamu. Yule jirani kakaa hapa pembeni anaburudika na bakulutu
AbeeehShemuuu
Nakupa hiiiiAbeeeh
Anko kashalewaa huyu
Ye yuko mbali sijamuuliza afu niliangalia vibayaalikuwa anasoma masomo gani, labda tuanzie hapo? na yeye ukimuuliza anasema C ni kufaulu au kufeli?
Nashukuru kwa kutokunielewaa nilimanisha ushaelewaaSijalewa bado, chupa ya kwanza ilikuwa chungu kiasi lakini hii chupa na tano nadhani muhudumu anaweka sukari si kwa utamu huu wallah
Kaulamba ukuu wa tarafaYe yuko mbali sijamuuliza afu niliangalia vibaya
Kumbe ana A mbili ya hisabati na kiswahili,ana B mbili ya english na sayansi na c ya maarifa
Hapo vp?
Kweli jaman
Asante shem me mzimaNakupa hiiii
Kwa nini apate alama cYe yuko mbali sijamuuliza afu niliangalia vibaya
Kumbe ana A mbili ya hisabati na kiswahili,ana B mbili ya english na sayansi na c ya maarifa
Hapo vp?
MpigieeAsante shem me mzima
NoNa obee
Jamaan ni mzimaMpigiee
....nitajua wapi sasa. Si unajua mimi huwa wa mwisho kuelewa humu ndani?
Huwa hawachagui" Mimi nilichagua mbona, ila ilikuwa std four yaani la nne. Sikufaulu kuendelea baada ya hapo

Asante mpenzi wangu. yaani wewe nakupenda hadi najionea wivu. Unanitetea na kunijali bila kujali mapungufu yangu siku za Ijumaa.
Jinunulie zawadi nzuri kujipongeza
