makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,852
- 103,974
Zinganayo motema pembe...pe shumabhoti Abel na marembe
Zinganayo motema pembe...pe shumabhoti Abel na marembe
We unalako jambo, c bure.Basi mambo waa uchukue nafasi ya werason ya kuwa baba mchungaji
Kivip chief!?Mbona mm ananifitini
Hapo chi ntu!!!Hapa nilipo wamepita watu tisa na mmakonde mmoja
Sasa hapo utajua mwenyewe km mmakonde ntu au sio ntu
Ya noti au kicheleShilingi mia mbili
Kwakuwa kasema mwenyewe sisi nani tubishe, japo akili za kuambiwa ongeza na zako mwenyewe.Mi mpaka Leo siamini km hajawahi kutumia hiyo kitu
Uke wenza huu.. mpaka husobe ananiombea mema..![]()
love you too
Mfikilie maka 10![]()
![]()

Nakuachaje kwa mfano.. umekamata nusu ya moyo wangu, na nusu iliyobaki kwangu yote nakupenda wewe..![]()
![]()
Naogopa kuachwa
![]()
![]()
![]()
Kama maji tushabatizwa utotoni wacha tubatizane kwa mibusu moto moto..Bora tublesiane dear

Uke wenza huu..Aaa wapi maka mtu poa banaa hawezi kufanya hivyo![]()

Antonie griezzman
Mimi apa shem![]()
![]()
nani kasema
Anko wewe unaona...nakuona umevaa mask, vipi una mafua?
Nazipenda binamu jamaan....nakuuliza tena mara ya mwisho, unapenda korosho au huzipendi?
Usimshabikie Maka kwenye mambo ya msingi
halaf si nilikwambia uniletee nyinginyingi