makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,861
- 104,011
Wacha wee...Nimjulie wapi?! Siangalii TV wala sina insta kwenye simu yangu ni Mimi na kapuku kapuku na mimi
Wacha wee...Nimjulie wapi?! Siangalii TV wala sina insta kwenye simu yangu ni Mimi na kapuku kapuku na mimi
Kupekupe bibamba!!Nangai na motema mobinda yoyo
Ndio.Afu na maka nae Wa kigambonino huyu
Hahaa... Duh! Kumbe uke wenza unakupa pumu.. pole weeAfadhali nipumue na obe wangu mie

Bi tukinao!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
duuu....!!!! Aisee hiyo ndonyaa sasa hapooo
![]()
![]()
kweli anachekesha loh

Kwenda huko...Lionee linaanza kujisheua saasa

Kwan we unasemaje?!Kwani we ulisemaje?!
Ongeza na afisaWachaaa weee kumbe we ndo mratibu mipango

Ohooo.....maka ungekuwa karibu yangu ningekuboost bonge la konzi

Mbona mm ananifitiniOngeza na afisa
Muuite afisa mratibu mipango, apate thaman yake halisi![]()
![]()
Baaah!!! Kwani mmakonde chi ntu huchna muba!!Hilo jina silitakii
Jina lenye LA mmakonde !! Tena mmakonde chale![]()
![]()
Chaa...!!! Bora lingekuwa jina LA ntu kuliko LA mmakondee
Uke wenza utakuuwa, mdomo kama unanusa harufu ya pilau kwa jirani
Na bado unalo hilo..Ovyooo
KaribuAmina mama mchungaji
Asante mama mchungajiKaribu
Bless uNawe pia mpendwa!
Hahaa... Duh! Kumbe uke wenza unakupa pumu.. pole wee
Na kibaya zaid blessed hope mwenyewe biblia ipo kwenye moyo, kamwagiwa damu ya yesu halogeki haingiliki, vidawa vyako vya ng'ende huko vinadunda tu shabash![]()
![]()
![]()
Na unalo hilo, mie na blessedhope ni washikaji zaid.. so ukewenza mpaka ubaki viskeleton..![]()
![]()
