Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Basi potezeaKwan we unasemaje?!
Basi potezeaKwan we unasemaje?!
![]()
![]()
![]()
Na dar sirud ng'odo, nazidi kutokomea kusikojulikana, maana konz lako na mikono yako yenye sugu hyo utosi utabonyea![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Kila mtu na bahati yakeMbona mm ananifitini
Hapa nilipo wamepita watu tisa na mmakonde mmojaBaaah!!! Kwani mmakonde chi ntu huchna muba!!
Shilingi mia mbiliDuh.. waliuza bei gani![]()
![]()
Mi mpaka Leo siamini km hajawahi kutumia hiyo kituHuyu jamaa aligonga nyimbo kibao matata..
Kuna show yake moja alijanza uwanja wa mpira, alikua kachetuka japo mwenyewe anakiri kuwa ile starehe yetu ya kuvuta hatumii
![]()
![]()
![]()
![]()
Duh!! Nimeamin adui wa adui yako ni rafiki yako.. mpaka husna anaombea mie nimkamatie chini blessedhope
Anza nae akikubali sina tabu ntakusaidia usitoke roho kwa uke wenza..![]()
![]()

Baba mchungaji Wa kapuku
Woyoooooooo(in shunie's voice)Tublesiwe sote mpendwa..
HahahahahaBaba mchungaji nakuonaaa
Bora tublesiane dearWoyoooooooo(in shunie's voice)
Nawaona mnablesiana tu
Aaa wapi maka mtu poa banaa hawezi kufanya hivyo![]()
![]()
Naogopa kuachwa
![]()
![]()
![]()
