Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Ohooo.....maka ungekuwa karibu yangu ningekuboost bonge la konziWa jina lake..![]()
![]()
![]()
Ohooo.....maka ungekuwa karibu yangu ningekuboost bonge la konziWa jina lake..![]()
![]()
![]()
Hilo jina silitakiiBi tukinao ni mnaa wewe.![]()
![]()
![]()
....nakuuliza tena mara ya mwisho, unapenda korosho au huzipendi?
Usimshabikie Maka kwenye mambo ya msingi
shikamoo ankoFanya mazoezi ya kuvuta mdomo mbele huku unasema tununu,kesho tutaendelea na somo

Anko nimepewa kaxi na anko mkubwa ...kuna jambo la kufanya naona kuna mambo yashakushindwa....mungu hawezi kujishughulisha na hiki unachotaka kunifanyia. Nakuangalia tu.
Ngoja niwasiliane na anko wangu
Morning to you momMorning Morning ..Bless you
Mie hata sielew yananitokaga tuu..![]()
![]()
![]()
Husna si namsingizia umbea, unaa, upashkuna, uchakubimbi, ndio na bi tukinao likanitoka..![]()
![]()
![]()

Shem wa ukweliNimjulie wapi?! Siangalii TV wala sina insta kwenye simu yangu ni Mimi na kapuku kapuku na mimi
....yeye mwenyewe anajua anayemfaa, koho koho koho , mimi hapa, wakati naandika nikakohoa

Amina mama mchungajiMtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa Upendo wako na kutuamsha tukiwa wazima na Afya njema,wapo watu wengi walitamani kuiona siku ya leo Baba hawajaweza ,tunatoa Sifa ,Shukurani,Heshima na Utukufu kwa Neema hii.
Tunakuja Mbele zako tukikukabidhi siku ya leo ya Jumatano 18 Oktoba 2017 ikawe njema na ya kukupendeza.
Tunaomba toba kwa yote tuliyokosea.Kwa mawazo ,maneno na matendo Uturehemu twakusihi
Tuimarishe ili tukupende,tukuheshimu na kuishi maisha ya kukupendeza wewe tu.
Tunaikabidhi Nchi yetu iwe na Amani.
Tunazikabidhi Familia zetu zidumishe Upendo na Mshikamano.
Tunawakabidhi wagonjwa na wenye shida mbalimbali majumbani na mahospitalini Baba ukawaponye miili na roho pia.
Baba wasafiri wote majini,nchi kavu,angani ukawe nao waende na kurudi salama.Na familia zote Baba mwema zikawe salama na Amani itawale.
Watoto wetu popote walipo makazini,majumbani na mashuleni ukawasimamie wakawe vichwa si mikia wafanye mambo yote kwa ufanisi na mafanikio.
Baba Mungu tunazikataa kazi zote za shetani zisipate nafasi katika maisha yetu tunazivunja kazi zote za shetani katika jina la Yesu Kristo tunamwaga damu ya Yesu Kristo ikatakase kila pando na kuling'oa na kulitupa kuzimu Mfalme wa Amani.
Tunakabidhi kazi zote za mikono yetu zikapate kibali mbele yako nawale wasio na kazi na shughuli za kufanya Baba wape kazi ili wauone Utukufu wako, tuingiapo na kutoka utubariki.
Baba Asante kwa Matendo yako Makuu yasiyo na mwisho,tunauona ukuu wako siku zote za maisha yetu tunasema Asante Baba na tunaomba uzidi kutuimarisha imani zetu zipande kuwa viwango vya juu ili tuweze kushuhudia matendo yako siku hadi siku.Roho Mtakatifu tutie nguvu.
Nakushukuru maana utatenda yote sawa na mapenzi yako
Katika jina la Yesu Kristo naomba naamini na nashukuru Amen
SIKU NJEMA WAPENDWA MBARIKIWE![]()
....mungu hawezi kujishughulisha na hiki unachotaka kunifanyia. Nakuangalia tu.
Ngoja niwasiliane na anko wangu

Unafaa kuwa mke mwemaNimjulie wapi?! Siangalii TV wala sina insta kwenye simu yangu ni Mimi na kapuku kapuku na mimi
We nini? Hebu waache huko...nina moyo ujue? Mbona unafanya mambo ya kunitisha hadi shetani anaogopa
....umeanza kunifananisha ngenga zangu na Julio, sasa hivi umeniita mimi mzee? Umejuaje mimi mzee au BH kakueleza?

Ovyooo....bora umejisalimisha! Nilikuwa naelekea kwa fundi mmoja kaagiza Nazi, mchele, hiriki, mdalasini, pilipili manga, kuku jogoo mkubwa mwekundu, karafuu, vitunguu swaum na ndizi mbivu
Husobeeeooooyoooo gudmoningiiiiooooo
....yeye mwenyewe anajua anayemfaa, koho koho koho , mimi hapa, wakati naandika nikakohoa

Kedu ka I mere makaveliiioooohSawa mkuu