Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yule demu ilibidi nianze mie ujue, we ukaniambia unampenda zaid.. nikaona kutokana we mwanangu yaani, katka top 3 ya wanangu umo, nikakuachia..

Nikapata mtoto wa kihausa, aisee nahis yule ni mmakonde wa naijeri..

....vipi anavaa zile mambo ninazopendaga? Na kama anavaa zinamkaa isijekuwa zinakuwa kama zimevaliwa na mhindi. Badala ya kuitwa shanga zinageuka bangili
 
Woyooooooooooo mama yangu mie ukuje huku jaman usikie salaam za maka anakupenda sana me ndio mtoto wake ujue nikikataa mie ujue kwa mama hupiti mama ananisikiliza sana lakini usisahau kumpa maflower huo ndio ugonjwa wake sana


....nakuuliza tena mara ya mwisho, unapenda korosho au huzipendi?
Usimshabikie Maka kwenye mambo ya msingi
 
Woyooooooooo jaman mama kapata baba mama kapata baba na baba kapata mama woooozaaaa mama yake shunie jaman hatimaye kapata babe bada ya baba angu wa mwanzo mukongo kukimbia familia maka baba karibu me ndio binti wa mama mchuchu ukipita kwangu ujue mama hana cha kusema kabisa


...nina moyo ujue? Mbona unafanya mambo ya kunitisha hadi shetani anaogopa
 
I dnt deserve kuwa mshua wako shunie...

So sorry kwa hilo, i will alwayz lv n care u lakin si kuwa mzee wako, i guess mama yako anahitaji mtu best zaid, am nt that man shunie, nimekuwa mtu mbaya huko nyuma, nimefanya kila ubaya..



....bora umejisalimisha! Nilikuwa naelekea kwa fundi mmoja kaagiza Nazi, mchele, hiriki, mdalasini, pilipili manga, kuku jogoo mkubwa mwekundu, karafuu, vitunguu swaum na ndizi mbivu
 
Obe.. kula kilaji chochote, cha bei yoyote, ntaiba hata kwenye mkoba wa mama ntalipa.. ..

Aisee hii nyimbo baada ya dear mama, keap ya head up, inafata hii ngoma, naipenda mpaka kero..

Much respect kwako mkuu, i salute you mopao obe



You are welcome buddy! Ila mimi sio mopao, huyo ni wewe maana umedhamini mapapers na muziki.

Seriously, hili goma limetulia sana ujue imebidi nilisikize (Mimi si mpenzi sana wa rap) nimependa lyrics na jamaa kajituliza kwenye kughani.
Asante kwa chaguo zuri mdau
 
....bora umejisalimisha! Nilikuwa naelekea kwa fundi mmoja kaagiza Nazi, mchele, hiriki, mdalasini, pilipili manga, kuku jogoo mkubwa mwekundu, karafuu, vitunguu swaum na ndizi mbivu
Duh!! Kisa na mkasa!!

Unanikumbusha ile nyimbo ya hasira za nin we bwana, wataka kuniua bure bwana, huyo si wako nami si wangu, chuki ya nin kati yangu mim na wewe..
 
You are welcome buddy! Ila mimi sio mopao, huyo ni wewe maana umedhamini mapapers na muziki.

Seriously, hili goma limetulia sana ujue imebidi nilisikize (Mimi si mpenzi sana wa rap) nimependa lyrics na jamaa kajituliza kwenye kughani.
Asante kwa chaguo zuri mdau
Mie ni mpenz wa lyrics kali, humu mr slim shady alitulia hasa hata kuflow nako kama sio yeye vile..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom