makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,815
- 103,853
Huyu jamaa aligonga nyimbo kibao matata..2007 - Lucky Dube, mwanamuziki alifariki
Mpendwa obe baadae unipigie nyimbo yake ya "REMEMBER ME"
Kuna show yake moja alijanza uwanja wa mpira, alikua kachetuka japo mwenyewe anakiri kuwa ile starehe yetu ya kuvuta hatumii