Makapuku Forum

Makapuku Forum

4079e7fe582c9f50937929fa65f31bce.jpg
Shunie.. ukuje huku
 
[emoji524]TITO 3
1 .Uwakumbushe watu kunyenyekea kwa wenye uwezo na mamlaka, na kutii, na kuwa tayari kwa kila kazi njema;
2.wasimtukane mtu ye yote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakionyesha upole wote kwa watu wote.

MCHANA MWEMA WAPENDWA[emoji7][emoji7]
Nawe pia mpendwa..
 
Back
Top Bottom