Makapuku Forum

Makapuku Forum

....bora wewe uliona picha, mimi hata kusoma nilikuwa sijui, wakanirudisha la pili ila nikawa nasoma na wa la kwanza ndo baadaye nikafaulu la nne. Niliona picha na nikasoma kumbe anaitwa Mtemi/Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga (1855–19 July 1898) aka Mkwawa
Duuu....huo mjina mchungu km klorokwini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mie tatzo chimbo ilizid, sikuenda shule siku zote ila siku ya mkwawa nikabahatika kwenda, tatzo mtihani hawakutoa kwenye mkwawa nikapata sufuri bin sifuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku ya mkwawa
 
Back
Top Bottom