Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524]Shalloooom[emoji28]Shalloooom[emoji28]
Neno LA Jioni
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini.

Rejoice in the Lord always and again I say, Rejoice.

Wafilipi 4:4
Hata kama unapitia magumu kiasi gani we furahi tuu maana ukifurahi unamwonyesha shetani kuwa jaribu alilolileta nalo si kitu kwako..
Ni kama Unakunywa tuu [emoji117][emoji480][emoji123][emoji23][emoji125]‍♀[emoji125]‍♀

Usionyeshe huzuni yako !mbele ya maadui zako tena ukiwaona ongeza kicheko ili wakaaibike wenyewe
Kwa jina LA YESU KRISTO Uwe hodari[emoji123]
Ameen
 
...alifanikiwa kuiongoza nchi yake na kuongeza sera zilizohimiza masuala ya uzazi, elimu tiba na uhamiaji. Haamini katika uwepo wa Mungu na anawaheshimu sana wanaoamini uwepo wa Mungu, kila mmoja na achoamini. Maamuzi yake ni kutotaka kuzaa watoto, japo sio mtawa.

1490075189436.jpg
Duu
 
Muziki: Stop Pretending

Leo ni furahiday, yes, kama ulikuwa hujui sitaacha kukukumbusha kuwa bila wewe kuwepo hapa Kapuku Forum itabaki kuwa dormant tu na sio dorminant kama sasa kwa sababu wewe unaifanya idomineti kiukwelikweli wala si hadithi.

...unakumbuka ile ishu yangu ya kupretend nikiwa kwa washua kule Lindi, basi leo nimekaa hapa nasikiza bakulutu na nadhani baadaye itaanza shoo ya taarabu maana nimeona wadada wacheza shoo hapa wamekuja kunisalimia mteja mwaminifu, huwa wananifananisha na mjomba wangu ambaye ni pedejeee sasa na mimi natumia fursa.

Bhasi bhana, isiwe ishu nimekaa nagonga moja moja hapa na mezani kajiunga nami mhamiaji haramu, tunalonga, nami mdomo wangu hauhariri yanayotoka kijiko nakiita kijiko tafsida niliziacha nilipolipa bia ya kwanza. Namuona anakosa uhuru nikamwambia nchi huru hii, sema kinachokuja moyoni usikiedit nitaacha kukuelewa. Duh, sijakaa sawa akaniambia anawashwa na bila kumung'unya maneno nikamwambia usiogope mjini joto usivae chupi za kubana sana ukunwaji mwingine ni quickie na sio selfie.
Muziki sasa, endelea kufurahia furahiday na sema chochote kinachokujia kichwani kwani uhuru wa mawazo uko mbioni kuwekewa sheria

Binamu ujue umeanza vizuriiiiii yaani vizuri sana ila umekuja kumalizia mwisho hivi binamu unanitaka ninii jaman ndio mana nimemzui baba d kuingia jf na sikupi hata makofi ya kukupongeza kwa ulichokiharibu mwishoni
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Muziki: Stop Pretending

Leo ni furahiday, yes, kama ulikuwa hujui sitaacha kukukumbusha kuwa bila wewe kuwepo hapa Kapuku Forum itabaki kuwa dormant tu na sio dorminant kama sasa kwa sababu wewe unaifanya idomineti kiukwelikweli wala si hadithi.

...unakumbuka ile ishu yangu ya kupretend nikiwa kwa washua kule Lindi, basi leo nimekaa hapa nasikiza bakulutu na nadhani baadaye itaanza shoo ya taarabu maana nimeona wadada wacheza shoo hapa wamekuja kunisalimia mteja mwaminifu, huwa wananifananisha na mjomba wangu ambaye ni pedejeee sasa na mimi natumia fursa.

Bhasi bhana, isiwe ishu nimekaa nagonga moja moja hapa na mezani kajiunga nami mhamiaji haramu, tunalonga, nami mdomo wangu hauhariri yanayotoka kijiko nakiita kijiko tafsida niliziacha nilipolipa bia ya kwanza. Namuona anakosa uhuru nikamwambia nchi huru hii, sema kinachokuja moyoni usikiedit nitaacha kukuelewa. Duh, sijakaa sawa akaniambia anawashwa na bila kumung'unya maneno nikamwambia usiogope mjini joto usivae chupi za kubana sana ukunwaji mwingine ni quickie na sio selfie.
Muziki sasa, endelea kufurahia furahiday na sema chochote kinachokujia kichwani kwani uhuru wa mawazo uko mbioni kuwekewa sheria

[emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Endelea binamu hivi nikimuacha anko wako kwa fitna zako utafurahi eeenh
 
Back
Top Bottom