shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Aisee dah.....ukimuacha tunarara na wewe mbere, we wish wi kud be wizad
Aisee dah.....ukimuacha tunarara na wewe mbere, we wish wi kud be wizad
Binamu uchawi wenu hautasaidia nina Yesu mie mana unaleta fitna sana.....ukimuacha tunarara na wewe mbere, we wish wi kud be wizad
Muziki: Stop Pretending
Leo ni furahiday, yes, kama ulikuwa hujui sitaacha kukukumbusha kuwa bila wewe kuwepo hapa Kapuku Forum itabaki kuwa dormant tu na sio dorminant kama sasa kwa sababu wewe unaifanya idomineti kiukwelikweli wala si hadithi.
...unakumbuka ile ishu yangu ya kupretend nikiwa kwa washua kule Lindi, basi leo nimekaa hapa nasikiza bakulutu na nadhani baadaye itaanza shoo ya taarabu maana nimeona wadada wacheza shoo hapa wamekuja kunisalimia mteja mwaminifu, huwa wananifananisha na mjomba wangu ambaye ni pedejeee sasa na mimi natumia fursa.
Bhasi bhana, isiwe ishu nimekaa nagonga moja moja hapa na mezani kajiunga nami mhamiaji haramu, tunalonga, nami mdomo wangu hauhariri yanayotoka kijiko nakiita kijiko tafsida niliziacha nilipolipa bia ya kwanza. Namuona anakosa uhuru nikamwambia nchi huru hii, sema kinachokuja moyoni usikiedit nitaacha kukuelewa. Duh, sijakaa sawa akaniambia anawashwa na bila kumung'unya maneno nikamwambia usiogope mjini joto usivae chupi za kubana sana ukunwaji mwingine ni quickie na sio selfie.
Muziki sasa, endelea kufurahia furahiday na sema chochote kinachokujia kichwani kwani uhuru wa mawazo uko mbioni kuwekewa sheria
Oooohoo[emoji124] [emoji124]Usiniambie mke mwee kwani binamu sio mkuu
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Na kweli mke mwee kila mtu apambane na hali yake yaan kiufupi jikune tu unapoweza
Sema binamu tunahamu ya kukuckia...sijalifuta, kwani mwanzo kulikuwa na neno?
Hivi mnanitafuta niseme leo Ijumaa hamjui niko under influence ya hii kitu yenye alcohol?
Msingi upi binamu...nakuangalia tu, makubaliano yetu ni kuwa Ijumaa ni siku huru, hatujuani wala hatufahamiani maana niko kwenye masuala ya msingi leo
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Yeah yaan tunajuana [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] amefuta hataki kuharibu cku yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua simu yangu mke mwee
Mamaa mwanya mwenyewe[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mchochezi kwenye ubora wakeeSema binamu tunahamu ya kukuckia
Cjambp mpenzUko poa swi wangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3].....ukimuacha tunarara na wewe mbere, we wish wi kud be wizad
Huyu cio umemkuta wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekutana na pacha mmoja wa shululu na tumosa wale wa awamu ya 3 walioniwekea woiiii acha nilale baba d ananivuta hapa anacheka mbavu hana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
[emoji18] [emoji18] [emoji18]Mchochezi kwenye ubora wakee
Kushinda wewe shemela, wewe ni zaidi ya zaiiiiiidi aiseeMchochezi kwenye ubora wakee
[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Msingi upi binamu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]...mpenzi, leo kipengele cha muziki sijakiandika mimi! Atakuwa ni anko wangu maana mimi niko Lindi, huku miziki haisikiki