Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kweli mke mwee magazeti yapo leo kwenye historia ipooo uf ipooo muziki upooo sala zipooo yaan mambo ni yale yale hakuna kilichobadirika kabisa

...ujue nini, kind annoying kila 'mkongwe' akiingia humu anakuja na songi kama za Liverpool ooh KF ilikuwa moto blah blah blah.
Wapo wakongwe wa kweli humu wakiondoka wakirudi wanarudi na vitu vya kuboresha na sio histohisia. Heshima kwako shululu kwa kuendelea kuboresha KF.

KF sio mtu au watu ni 'taasisi' well, waliopumzika au kuondoka hawajaondoka na KF ikarudi chini isipokuwa sasa ndo iko juu hadi zinaanzishwa thread kuelezea hatari ya kuiacha iwe na nguvu.

Unataka magazeti Ibrahim Msuya , hujaona UF, BBC, educative quotes, muziki, sports, nukuu za kiimani, sogozi na kubebishana, hadithi, falsafa and FYI kwa kuwa KF ina kila kitu wasomaji ni wengi hata takwimu zinagoma kupatikana.
Ngoja niendelee kukata Safari baridi hapa nimsikize Mccain anayejisifu kukamatwa mateka wakati waliokamatwa na kuwatoroka watekaji hawapigi ngenga.

Hebu muangalie mjomba wangu, alitekwa na wahamiaji haramu, baadaye akatekwa na Cheusi Mangala, bado akatekwa na Eva, kisha teller wa benki lakini kote anakotekwa anatoroka na kurudi kwa shangazi yangu ninayempenda sana na haya hayamuumizi moyo
 
Binamu ujue umeanza vizuriiiiii yaani vizuri sana ila umekuja kumalizia mwisho hivi binamu unanitaka ninii jaman ndio mana nimemzui baba d kuingia jf na sikupi hata makofi ya kukupongeza kwa ulichokiharibu mwishoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom