Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Aaaah baby mwenyewe(in Husna's voice)Baby
Aaaah baby mwenyewe(in Husna's voice)Baby
Mwenzangu nmechoka mwili na rohoUmechokajeee![]()
![]()
Nmekusamehe shemu ucrudie tenaHahahaaa..
Tumosa nimekuita "B...." nisaheme shem wangu..
Nilifikiri ni mtani Husna wa muba.
Sawa shemNmekusamehe shemu ucrudie tena
Wako mmu na Cc tuuWakuu mnakimbilia wapi niwafuate naona mpo kimya aisee
Shalloooom
Shalloooom

♀
♀
Ameni asante kwa neno la faraja kwetu mamaShalloooom
Shalloooom
Neno LA Jioni
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini.
Rejoice in the Lord always and again I say, Rejoice.
Wafilipi 4:4
Hata kama unapitia magumu kiasi gani we furahi tuu maana ukifurahi unamwonyesha shetani kuwa jaribu alilolileta nalo si kitu kwako..
Ni kama Unakunywa tuu♀
♀
Usionyeshe huzuni yako !mbele ya maadui zako tena ukiwaona ongeza kicheko ili wakaaibike wenyewe
Kwa jina LA YESU KRISTO Uwe hodari![]()

Ameen mama yanguShalloooom

umenigusa sana na neno la leo barikiwa mama nakupenda mimi

Na we tafuta baby pia hujakatazwa na kuliamsha humu kila siku watu wanaliamsha mambo ni yale yale tu hakijabarika kitu kapuku kama bus tu ukishuka wengine wanapandaUnajua husna kipindiii hicho tunalianzisha ilikiw nia hatar watu walikuw wanaleta mada kibao saiviiii hakun unakuta mtu anamwita MTU baby hakuna cha maaaan wanachoonhea hakun kabisa
Hivi T jaman si tulishawahi kukwambia na baba d kua hii sio I'd yake ni mtu na mdogo wakeEeeh! Hivi hii sio Id ya pili ya lee empire?
ShemHope mzima japo shunie na bro ndo wana majibu kamili
Nikuagizie nini?Hivi T jaman si tulishawahi kukwambia na baba d kua hii sio I'd yake ni mtu na mdogo wake
Asante mama mchuchu..Shalloooom
Shalloooom
Neno LA Jioni
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini.
Rejoice in the Lord always and again I say, Rejoice.
Wafilipi 4:4
Hata kama unapitia magumu kiasi gani we furahi tuu maana ukifurahi unamwonyesha shetani kuwa jaribu alilolileta nalo si kitu kwako..
Ni kama Unakunywa tuu♀
♀
Usionyeshe huzuni yako !mbele ya maadui zako tena ukiwaona ongeza kicheko ili wakaaibike wenyewe
Kwa jina LA YESU KRISTO Uwe hodari![]()
Mjukuu wa mimi!!!Shem