shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Nipo shemelaHata me naona msalimie shemela shululu akija mke mwee
Nipo shemelaHata me naona msalimie shemela shululu akija mke mwee
Veeeep tena jamaaan[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kama Kawa Kama dawa shemelaImefanyaje tena mke mwee unataka kwenda mzalendo kila mishkaki
Nilijua utakuja nikiwa sipo shemelaNipo shemela
1925 - Leon Bourgeois, mwanasiasa Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1920 alifariki
Mwisho
Nzuri kabisa shemela wangu, D na baba yake hawajamboShemela wangu mie jaman za wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Kawa Kama dawa shemela
Mimi niko poa mjukuu wangu.... Speed.Mambo mimi sijui wewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sawa shemela wangu mie wa bongo movie kabisa yaan sijui ningekuwa wa bongo movie kama ningejuana na mdogo wake baba d [emoji41][emoji41][emoji41]
Wazima sana jaman baba d anawasalimia tu yupo busy sanaNzuri kabisa shemela wangu, D na baba yake hawajambo
Umemchokoza binamuVeeeep tena jamaaan
Bahati nzuri tumeingia pamojaNilijua utakuja nikiwa sipo shemela
Ndo vileeee bongo movie yetu imeendelea shemela ujue tupo Hollywood[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Usiniambie shemela hivi nimemchokoza vipi jamanUmemchokoza binamu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Bahati nzuri tumeingia pamoja
Na we tafuta baby pia hujakatazwa na kuliamsha humu kila siku watu wanaliamsha mambo ni yale yale tu hakijabarika kitu kapuku kama bus tu ukishuka wengine wanapanda
Mimi [emoji40] [emoji40] shemela, ili useme na mimi nimechocheaUsiniambie shemela hivi nimemchokoza vipi jaman
Cheers [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekugusa hapooo...sina cha kuongeza
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemela nimecheka kwa sauti ujueMimi [emoji40] [emoji40] shemela, ili useme na mimi nimechochea
Hapana we unamwita Obe mkuu ili apaliwe na barukutuImefanyaje tena mke mwee unataka kwenda mzalendo kila mishkaki