Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Sawa binamu....kuna kale ka masemo ka vijana wa mjini wanasemaga msingi nini sijui! Sisi wageni wa mjini haujui mengi na hasa mimi ngoja aje makaveli10 atatujuza
Sawa binamu....kuna kale ka masemo ka vijana wa mjini wanasemaga msingi nini sijui! Sisi wageni wa mjini haujui mengi na hasa mimi ngoja aje makaveli10 atatujuza
Nipo tu kuna mambo yananitinga ndomana napoteaOk ulikuwa wapi ulipotea sana ujue
...mpenzi, leo kipengele cha muziki sijakiandika mimi! Atakuwa ni anko wangu maana mimi niko Lindi, huku miziki haisikiki