makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,439
- 108,476
Duh.. haya sawa hatupaswi kuingilia mambo ya ndani, ila ni vizur ukiwa na mzee kwa bed ukaacha mambo mengine, kitandan sio pahala pa kwichi kwichi tu na kulala, ni mahala pa kuyajenga yenu, kuzungumza, kulitia penzi nakshi nkshi, kupanga mipango yenu, kujua siku imeendaje, taarifa za hapa na pale na kadhalika..Kwan nkilala ndo schati au
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Woooooooooozaaaaaaaa[emoji41][emoji41][emoji41]
Ni kelebu..Hapo umenena vyema!!!! We wasema kelebu na sio teke
[emoji4] [emoji4] [emoji4] nilivyosikia vimetosha my love...mpenzi, mimi na wewe hatuendagi guest, na pia sijawahi kumjaribu huyu Eva, mambo ya Eva muuliza mjomba wangu lee empire.
Ulaini wako kama keki ya tufaa nashindwa kukulinganisha na andazi la kifaransa (croissant), na ujue ulaini wako ndo unaonipatia ugumu mimi, you know like hard on hata uvccm wakimaliza election mimi bado nina erection kwa ulaini wako.
Unataka kusikia nini tena?
Inshaallah..Sawa shemela endelea kisubiri atapatikana tu
Teh teh teh.. mbona amchezee..[emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Una chat vipi sasaaa, hebu mchezee mumeo hukooo
Ahsante..[emoji3] [emoji3] [emoji3] pole
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuuuuu madudu yako unaonaga wa kumsukumia ni baba d tuuu
Sawa babe
Sakayo Twende mamie
Muwe na usiku mwema wote.
Sawa shem..Achana na Shunie huyo ni mchongaji sana
[emoji4] [emoji4] [emoji4].....jiangalie, umependa shetani, malaika wazuri hawatoroki peponi. Hurulayn hatoroki Jannat (peponi) tufanye mema tukajitwalie
Ameen!! Inshaallah shunieMungu atakusaidia jamaan maka
Mwambie timu yetu ni tia maji tia maji..Anaangalia mpira Sakayo
Mwambie timu yetu ni tia maji tia maji..
I say no
Mdogo wangu vipi, uchupa mwingi nini!!?Hivi mpaka sasa hakuna aliyetokeza ambaye yuko "singo"?
Kuweni siriazi "wadada" wa humu bhasi....
Naogopa kusema nikijitokeza utasema wa tatu huyo..[emoji23] [emoji23]Wa wapiii huyo jamaan
OK tumia salama condom kila wakatiNiache tu na umalaya wangu.. sasa nifanyaje kipindi hiki ambacho bado sijamuona mwanamke anaedeserve kumiliki huba langu.. nikufe na utamu wangu au!!?
Wanawake wenye hamuaminiki, naweza kujituliza wee umetufunga kumi. Wacha nile ujana mie, anaejipendekeza naweka tuu, akifika mwenyewe ntamkabidhi mali yake..
Mdogo wangu vipi, uchupa mwingi nini!!?
Kuna kwa wahaya, kimboka, sugar ray,sokota..
Leaders, ohio, ambiance, kangaroo, las vegas n.k
Ndukiiii...
Kumbe hiyo ndio maana ya usiku!Usiku nini?
...usiku sio giza linalotawala dunia wala ukimya unaotawala mitaa.Usiku ni muda unaotuonesha MATUMAINI ya kuiona KESHO.
Tuwe na imani ya kuiona IJUMAA!
Mwenzangu loh [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakupita mpaka wewe mpenda viporo