Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kweli ujue baba d au umewekwa kwa avatar yaan humu jf unatakiwa uwe makini sana la sivyo inakula kwako
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kweli ujue baba d au umewekwa kwa avatar yaan humu jf unatakiwa uwe makini sana la sivyo inakula kwako
Mfyuu eti mama wa kanisa huyo[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] na kesho siendi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie sitaki viben 10
Sisi tulisoma kimyakimya na kwenda kuchekea kwenye uzi wetu tuliouteka kwa muosha masufuria watu wanakuja mbona hatuwaelewi hatuwaoni kule tunawaambia tunawakwaza watu na chit chat zetuIla ya yule bidada kwakwel haikuwa poa, kila mmoja analalamika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh acha nifunge mdomo wangu mie, yaliyopita yameshapita nowa tunaganga mapya, afu nawe bidada muache DJ wa watu bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama zingekuwa za uchi ndo ningekufa kabisa
Hahahaaa nilionaSisi tulisoma kimyakimya na kwenda kuchekea kwenye uzi wetu tuliouteka kwa muosha masufuria watu wanakuja mbona hatuwaelewi hatuwaoni kule tunawaambia tunawakwaza watu na chit chat zetu
Mziki upiii huo baba dMzikiii wa leo unaujuaaa wewe ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliniambia atanialika kwenye sherehe ya U MC kwake ila nisijifanye mjuaji kuliko yeye
Imani yako ndio itakayokuponya ujueMfyuu eti mama wa kanisa huyo
Wa dompoMziki upiii huo baba d
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Wa dompo
Kama nakuonaaaaaaaaaa dear......[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka vitu flani ujue halaf sitaki uniulizeKama nakuonaaaaaaaaaa dear......![]()
Unafikiriii mm sikumbukiiiii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka vitu flani ujue halaf sitaki uniulize
Halaf kama wamefanana na wale ndugu zako [emoji7] [emoji7]Unafikiriii mm sikumbukiiiii....
Wacha tupendaneee![]()
Kumekuchaaaaa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Moneytalk i love youuuu
Moneytalk i love youuuu