Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Acha uchochezi utapimwa mkojo lioneeLeo balukutu day atakuwa ashatekwa na wavaa shanga huyo
Acha uchochezi utapimwa mkojo lioneeLeo balukutu day atakuwa ashatekwa na wavaa shanga huyo
Hongera kwa 277kHabari za siku mbili tatu.
Maintavyuu yalikunogeaShemela nilikua mitaa mingine huko lakini nimekuja huku ni nyumbani ujue siwezi kimbia mimi

Good morningHumu!
Good night y'all
Asante mke wa Shululu mpendwa wa Obe rafiki yake..... Ha ha ha ha ha..... Leo lazima uniambie which is whichHongera kwa 277k
Mgeninimeona mama, na shemela nishamuona
HakikaHakika Mwenyezi Mungu ni mkuu kuliko yeye alieumba kila kitu anazidi kuyaokoa maisha ya kipenzi chetu tundu lisu
Asante kwa upendo wako kwangu asante kwa kuniamsha tena salama siku hii uliyoifanya mwenyewe
Asante kwa ajili ya sifa na utukufu wa jina lako
Naamini makapuku mko safi na kama hujaamka poa basi Mwenye enzi Mungu akusaidie na kukuponya
Asubuhi njema makapuku wote
Huyo ndio baba jj mume wa tumosa huku jisikie upo nyumbani hapa ndio nyumbani kwetu tumosa hatembei ujue yupo hapa tuuu au entertainment ndio mana nilimwambia leo umetoka kama uliwekwa super glue

achana na mambo ya x shemela bana, unataka niropoke mgeni nionekane sina adabu

Shululu hanaga ushemeji anakulaga tuPusha shemela ya aslay halaf umemuona mgeni huyo anaitwa moneytalk ni shemeji yako sawa sawa shemela huyo rafiki yetu
mgeni nakujua unatamani kunipa tusi hapo ndio hivyo tena upo na kamba mguuni

Shemela hujaelewa nini tena jaman huyo mgeni ndio ameingia kapuku shemeji yako rafiki yetu me na tumosa tunaweza kumpa tetra shemela ili moneytalk asiwe mpweke
kwenye ubora wakoMhenga mambo niaje?Acha zereu banaa
Mi nishakuwa muhenga